Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.

Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.

Saa ya ukombozi ni sasa

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa faida ya CCM ni bora ya DJ akaendelea kuiongoza Chadema kuliko aingie kiongozi Mpya ndani ya Chadema mwenye mitazamo na msimamo thabit. DJ anamapungufu mengi kiasikwamba CCM wanapata nafasi ya kuishinda Chadema kwa hoja kwakua Chadema haiendeshwi kama taasisi bali kikundi cha DJ na watuwake wa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe akiona hii pressure juu,aangalie wasije wa kamchachawangwe,maaana hiyo saccos mmh!
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.

Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo makamanda wanapaswa kuwa na mipango enelevu na inayoshawishi wananchi kuanzia sasa.

Saa ya ukombozi ni sasa

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom