Changamoto ya saaa AI imevuruga vitu vingi kuamini baadhi ya picha inakuwa changamoto.
Hili jiwe nililiona Cornwall 🇬🇧
Vingine ni imani.. Ila imani ni kila kitu inaweza kufanya mambo makubwa sanaHili jiwe nililiona Cornwall 🇬🇧
Nikaona watu wakipita kwenye duara hilo wakiamini huwa linatibu kama Una tatizo la mgongo.
Wanasema lina healing power
Lazima unajua haya mambo mzee