Mwamba kazeeka vibaya

Mwamba kazeeka vibaya

YoungPastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,046
Reaction score
1,954
FB_IMG_1791913543682.jpg
 
Side effects? Anaewezaje kuwa bado hajaanza kutokwa povu?
 
Issue SI uzee Bali ni ugonjwa wa afya ya akili. Hapo ubongo umeshaharibiwa unatafsiri vitu tofauti. Haya mambo yapo hata bongo niliwahi kumwona magonjwa wa akili akiwa na kiporo Cha ugali wa sembe mweupe kaitweza kama mboga kwenye sinki la kinyesi lililokuwa limepasuka. Omba Mungu na tuwapmbee wanaopitia changamoto hiyo hasa ndugu zao wanaopitia kipindi kigumu sana
 
Daah! Huyo mzee naye hivyo hata ladha hakuona kwamba sio kama ya hiyo yogurt.

Harufu je?
Kwa umri huo unatarajia sensory organs ziko perfect kweli? Especially kama atakuwa na some chronic medical conditions?
 
Back
Top Bottom