Sijaelewa. Atampa nini?Quote: "Mwalimu haya ni maisha yangu... nimejitahidi kusoma kadiri ya uwezo wangu lakini siwezi kujiamini asilimia 100% kwa somo lako na mtihani ni jumatatu nitahitaji msaada wako kwa namna yeyote nihakikishie then tutamalizana i mean nitakupa i promise"
sweetlady huyo ni binti mwanafunzi kwa mwalimu/mkufunzi wake
Usishangae, huu ni ulimwengu wa kupeana. Nasubiri na mimi unipeAisee!
Angalia na hii. Ikiwa lecturer yuko makini atafanya kama alivyofanya huyu: https://www.jamiiforums.com/jokes-u...4654-nitfanya-lolote-ili-nifaulu-mtihani.htmlHao ndo wasomi wetu... kumbe wakati mwingine tunawalaumu bure hawa lecturers, mabint nao wanawashawishi wakati mwingine
Hii ndio dawa pekee ya kuwaweza, shenzi type...Mpe lesson siku nyingine ajifunze!Hicho anachotaka kukupa chukua halafu maksi za bure humpi.FULL STOP!
Hii ndio dawa pekee ya kuwaweza, shenzi type...