Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

Mwalimu wangu wa kemia ananitaka kimapenzi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenisingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpaka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa maana na yeye atanikandia sana kwa walimu na wanafunzi wenzangu wakati mimi sina makosa.

Nifanye nin
i?
 
Wee Binty !! unaogopa nini kwa masilahi yako? khaaa.... Ukali huo usikupoteze maisha yako... Sasa bora ubakwe bila radhaa yako au maa akawaripukie huko !!
DEFEND yourself !!
 
Mpe bwana wewe unajua aliekupa nani mpaka unyime wenzio?
 
Mwanafunzi angalie kwenye mtihani usije ukaandika hayo maneno xna, xul na cna, sijui ni lugha gani hiyo.
Utafeli halafu utalalamika walimu hawafundishi.
Huyo mwalimu wako wa kemia kamshtaki kwa mwalimu mkuu.
 
Duuh! Kweli umri umekwenda sasa. Yaani nimeshindwa kabisa kumsoma huyu mtoto kwa huo uandishi wake.
 
CC:Mkuu Tyta

Msaada Wa Kuleta Thread Zake Huyu Mtu Tangu Ajiunge Jf Ili Aumbuke Vizuri.
 
Back
Top Bottom