Mwalimu wa Watanzania ni Marehemu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa Watanzania ni Marehemu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaisa079, Nov 22, 2007.

 1. kaisa079

  kaisa079 Member

  #1
  Nov 22, 2007
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita wezi? Mwalimu wetu wa kutufundisha jinsi ya kuamua amekufa?
  Wewe unajua kabisa sehemu pekee ambayo masikini anaweza ku'mcontrol' mwenye nacho akiamua kufanya hivyo in katika 'kura' sasa najiuliza vijizawadi vya t-shirt,vitenge na mchele tunayopewa wakati wa kampeni huwa vina madawa ya kutulevya akili? hebu nisaidieni kujadili.
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tena ni marehemu haswaaaaaa maana angekuwa msukule tungeenda kuomba kanisani tukaomba maombi wamrudishe japo atakuwa zezeta aendelee kutufundisha. Mapinduzi halisi tunayohitaji sisi Watanzania ni fikra bado hatuamini kuwa tunaweza bila Wazungu. Ukoloni walioupinga Mababu zetu sasa hivi Mababa zetu wanaupigia debe. Akifufuka leo Mkwawa, Mirambo, Mangi, Meri, watakufa ghafla na kuyeyuka kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
Loading...