Mwalimu wa Watanzania ni Marehemu?

kaisa079

Member
Nov 16, 2007
20
0
Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita wezi? Mwalimu wetu wa kutufundisha jinsi ya kuamua amekufa?
Wewe unajua kabisa sehemu pekee ambayo masikini anaweza ku'mcontrol' mwenye nacho akiamua kufanya hivyo in katika 'kura' sasa najiuliza vijizawadi vya t-shirt,vitenge na mchele tunayopewa wakati wa kampeni huwa vina madawa ya kutulevya akili? hebu nisaidieni kujadili.
 
Tena ni marehemu haswaaaaaa maana angekuwa msukule tungeenda kuomba kanisani tukaomba maombi wamrudishe japo atakuwa zezeta aendelee kutufundisha. Mapinduzi halisi tunayohitaji sisi Watanzania ni fikra bado hatuamini kuwa tunaweza bila Wazungu. Ukoloni walioupinga Mababu zetu sasa hivi Mababa zetu wanaupigia debe. Akifufuka leo Mkwawa, Mirambo, Mangi, Meri, watakufa ghafla na kuyeyuka kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom