Mwalimu wa udereva anahitajika

Mwalimu wa udereva anahitajika

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,028
Reaction score
52,505
Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.

Njoo pm, nipo Dar es Saalam
 
Kwa nini usiende tu Vyuo vya Mafunzo ya Udereva? Huko watakupatia cheti baada ya kufuzu na utaipeleka ili ukapewe Leseni. Nenda VETA hayo mafunzo ya Udereva yapo.

Au nenda chuo cha Usafirishaji (NIT).
 
NIT IPO WAPI MKUU?
WANA MADARASA YA JIONI?
 
Nimekuchukia weeeeeee,,,, imebidi nianze kukupenda tu!!
 
Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.

Njoo pm, nipo Dar es Saalam
Eneo la kujifunzia wapi?
 
Ipo Mabibo Mkuu mbele ya Mwananchi. Sijajua lakini lazima wanayo darasa la jioni. Ni chuo Kizuri sana kwa Usafirishaji.
HUKO MBALI ANYWAY NASHUKURU NGOJA NIFANYE MCHAKATO MKUU
 
Kwa nini usiende tu Vyuo vya Mafunzo ya Udereva? Huko watakupatia cheti baada ya kufuzu na utaipeleka ili ukapewe Leseni. Nenda VETA hayo mafunzo ya Udereva yapo.

Au nenda chuo cha Usafirishaji (NIT).
Kiongozi acha basi hizo imepatikana fursa hapa unataka kuipeleka veta na NIT,mimi nakupunguzia nitakufanyia sh 50,000 tu kwa week,nauri na vinywaji baada ya kazi juu yako,toa maelekezo mazoezi yanafanyikia wapi
 
Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.

Njoo pm, nipo Dar es Saalam
VETA ni Tshs.180,000/= ukiweka na Tshs20,000/= ya TRA.
 
Back
Top Bottom