Buhongwa Kwetu
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 264
- 171
NIT unakwenda kusoma ukiwa tayari unajua kuendesha gari, pale wanakuongezea ujuzi tuMBONA MNANICHANGANYA JAMANI
NIT unakwenda kusoma ukiwa tayari unajua kuendesha gari, pale wanakuongezea ujuzi tuMBONA MNANICHANGANYA JAMANI
VETA ni tofauti na Chuo cha Usafirishaji (NIT). kama hapo kwenu Dasilamu VETA iko Keko kama sikosei. Veta wanafundisha basic na hapo ni rahisi hata kupata leseni kuliko kujifunza kwa binafsi tu!MBONA MNANICHANGANYA JAMANI
HUKO MBALI NA NILIPOVETA ni tofauti na Chuo cha Usafirishaji (NIT). kama hapo kwenu Dasilamu VETA iko Keko kama sikosei. Veta wanafundisha basic na hapo ni rahisi hata kupata leseni kuliko kujifunza kwa binafsi tu!
Punguza maksihara!NISAMEHE KAMA NAKUBOA UNATAKA NIFANYEJE
HAPA MASIHARA YAPO WAPI? KUNA SHIDA KUTAFUTA MWALIMU?Punguza maksihara!
Basi tatufa watu wanaotoa mafunzo ya udereva karibu na ulipo, naamini wapoHUKO MBALI NA NILIPO
SIWAONI BNA NISINGEKUJA HUKU MIE SIO MTU WA KUJIMIX KIIVO MYBasi tatufa watu wanaotoa mafunzo ya udereva karibu na ulipo, naamini wapo
mmh basi sawa!HAPA MASIHARA YAPO WAPI? KUNA SHIDA KUTAFUTA MWALIMU?
Unataka ufundishwe auto au manual?Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.
Njoo pm, nipo Dar es Saalam
Nichek inbox kama uko tayari... Nitahakikisha umekuwa dereva mahiri, hadi mkoani utakuwa unaenda...Katika kubana matumizi boss wangu kasema hawezi kuajiri dereva inabidi mimi secretary nimuendeshe hapa na pale maana yeye ni mzee hawezi kuendesha gari saa zote anachoka. Therefore natafuta mwalimu budget laki moja kwa week mbili kila siku one hour.
Njoo pm, nipo Dar es Saalam