Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Mkuu; kifungu gani cha Sheria ya Tz. kinaruhusu? Wee bhana we!! Anagalia Hasira Hasara. Huyo jamaa Kesha kamatwa - Huenda ataonesha uhalali wa kupiga.
Unaweza ukajibu mapigo kwa mtu aliyetangulia kukushambulia......

ndio maana nawasisitiza sikilizeni upande wa pili kwanza...
 
Sawa - kama unajibu mapigo kwa mtu aliyetangulia kukushambulia i.e Unajihami.Lakini hapa tunaelezwa kwamba mwl.Hasira alimkuta Witness akiongea na wanafunzi na ndipo akatoa kipigo. Ss hiyo alijibu mashamnbulizi yapi?
 
Upandeee wapili unasemajeee.....kuna jambooo hapo naombaa lichunguzweee.
 
Mtu anaekosea hupigwa tanua ubongo blaza usiwe kama maiti.......
Hata watoto wanaokosea shule kibongo bongo huchapwa...
Ndio maana nikasema naweza kufikiri naongea na mtu timamu kumbe hayuko sawa
Sasa mm nimekuta blaza wako
Aisee.kwani unanifahamu ?
Kwamba mm ni blaza?
 
Ila Witness mzuri aiseeh!!

Wanaume sijui tunakwama wapi? Unaanzaje kumpiga bint mzuri kama huyu hadi kumng'oa jino?
 
MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI. WENZAKE WAMUOMBA ASKOFU MWAMAKULA ASAIDIE KUPAZA SAUTI ILI MAWAZIRI WENYE DHAMANA WASIKIE NA KUINGILIA KATI

Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Tunapenda kukujulisha tukio la kusikitisha lililomkuta mwalimu mwenzetu aitwaye Witness Makoti wa Shule ya Msingi Mkuyuni iliyopo Tarafa ya Mkuyuni katika Wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoani Morogoro.

Siku ya Ijumaa, tarehe 15 Oktoba 2021 muda wa Saa 6 mchana, Mwalimu Witness Makoti ambaye ni mwanamke alikuwa akiongea na wanafunzi watatu darasani. Wakati akiongea na watoto wake, ghafla alishambuliwa na kuanza kupigwa na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ambaye ni mwanaume aitwaye Mussa Hasira. Alipigwa sana lakini aliokolewa na mwalimu mmoja.

Baada ya kushambuliwa na kupigwa, Witness alikwenda kuripoti katika Kituo cha Polisi cha Mkuyuni na kupewa PF3 ya kwenda Zahanati ya Mkuyuni na kupata matibabu ya awali. Baada ya hali kuendelea kuwa mbaya, leo Jumapili alikwenda Hospitali ya Nunge kwa matibabu zaidi ambapo imegundulika kuwa Witness ana vidonda mdomoni na pia amevunjwa jino.

Hali yake ya kiafya mpaka sasa siyo nzuri sana na inazidi sana na ameleza pia kuwa pressure imempanda. Hadi muda huu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini na Mkuu wa Wilaya hawana taarifa.

Mwalimu Witness Makoti anahofia usalama wa maisha yake kwani ameelezwa kuwa Mwalimu Mkuu alimfuata mwalimu aliyemgombelezea Witness akaanza kumlaumu na kusema kuwa angelimuacha bila kumgombelezea ili amuue kabisa.

Mwalimu Witness Makoti ameomba asaidiwe katika kulipazia sauti jambo hili aweze kupata msaada kusudi haki iweze kutendeka lakini pia ili kuokoa maisha yake.

Tunaambatanisha picha ya Mwalimu Witness Makoti hapa chini.

Tunakushuru sana Baba Askofu Mwamakula kwa kutupokea na tunaamini kuwa kupitia sauti yako, Witness atapata msaada anaouhitaji.

Hasira hasara kama jina lake mkuu wa shuleee🙄🙄🙄
 
Hasi hasara kama jina lake mkuu wa shuleee🙄🙄🙄
 
Pole sana
 
Aisee mimi ndo maana niliachaga ualimu, maana mtu anakudhalilisha kizembe kabisa as if huna haki za msingi.
Zamani nikiwa mwalimu nikiwa mwalimu headmaster alikuwa akinionea sana kila siku ananisingizia kuvaa nguo fupi yaan alitaka mimi niwe navaa vitenge vinavyoburuza chini.

Kha mimi abavyo sipendi manguo marefu nilikuwa najitahidi kuvaa nguo za kati chini ya magoti, siku nyingine ndefu kabisa lakini siku nikiivaa ya hiyo chini ya magoti naandikiwa barua.
Aliendelea kunichukia niajisikia vibaya nikaanza kuchukia ualimu.

Siku moja ndo naingia darasani kufundisha, nae akaingia darasani eti anataka kuona ufundishaji wangu, kha kwa nini anifanyie surprise bila kunipa taarifa?

Moyoni nikajisemea huyu fala nini?. Kaingia kakaa dawati za nyuma. Nikaongea na wanafunzi kidogo nikawapa kazi ya kufanya wasome kitabu fulani chp fulani tutakuja kudiscuss next time. Nikawaambia leo sijisikii vizuri nikatoka nikamuacha darasani. Alijisikia vibaya sana. Alivimba balaa.

Nikaona huu upuuzi nikaomba chuo kusoma fan nyingine nikaacha kazi, am happy nafanya ninachojisikia.

ulikosea kuondoka bila kumkomoa huyo mwalimu yeye alikufuatafuata kwa sababu ya nguo fupi siku ile unakaribia kuondoka ungeingia shuleni umvaa kichupi kabisa angeipta fresh
 
MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI. WENZAKE WAMUOMBA ASKOFU MWAMAKULA ASAIDIE KUPAZA SAUTI ILI MAWAZIRI WENYE DHAMANA WASIKIE NA KUINGILIA KATI

Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Tunapenda kukujulisha tukio la kusikitisha lililomkuta mwalimu mwenzetu aitwaye Witness Makoti wa Shule ya Msingi Mkuyuni iliyopo Tarafa ya Mkuyuni katika Wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoani Morogoro.

Siku ya Ijumaa, tarehe 15 Oktoba 2021 muda wa Saa 6 mchana, Mwalimu Witness Makoti ambaye ni mwanamke alikuwa akiongea na wanafunzi watatu darasani. Wakati akiongea na watoto wake, ghafla alishambuliwa na kuanza kupigwa na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ambaye ni mwanaume aitwaye Mussa Hasira. Alipigwa sana lakini aliokolewa na mwalimu mmoja.

Baada ya kushambuliwa na kupigwa, Witness alikwenda kuripoti katika Kituo cha Polisi cha Mkuyuni na kupewa PF3 ya kwenda Zahanati ya Mkuyuni na kupata matibabu ya awali. Baada ya hali kuendelea kuwa mbaya, leo Jumapili alikwenda Hospitali ya Nunge kwa matibabu zaidi ambapo imegundulika kuwa Witness ana vidonda mdomoni na pia amevunjwa jino.

Hali yake ya kiafya mpaka sasa siyo nzuri sana na inazidi sana na ameleza pia kuwa pressure imempanda. Hadi muda huu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini na Mkuu wa Wilaya hawana taarifa.

Mwalimu Witness Makoti anahofia usalama wa maisha yake kwani ameelezwa kuwa Mwalimu Mkuu alimfuata mwalimu aliyemgombelezea Witness akaanza kumlaumu na kusema kuwa angelimuacha bila kumgombelezea ili amuue kabisa.

Mwalimu Witness Makoti ameomba asaidiwe katika kulipazia sauti jambo hili aweze kupata msaada kusudi haki iweze kutendeka lakini pia ili kuokoa maisha yake.

Tunaambatanisha picha ya Mwalimu Witness Makoti hapa chini.

Tunakushuru sana Baba Askofu Mwamakula kwa kutupokea na tunaamini kuwa kupitia sauti yako, Witness atapata msaada anaouhitaji.

Ni mapenzi au nini?
 
Hapa Kuna kitu,huenda walinyimana kitu hawa si bule.au huenda mwal. KE aliwahi kuombwa Jambo na mwal.ME ,na mwal.KE akamnyima halafu akawa anamdharau na kutokumchukulia Kama mkuu wake ,mwa. KE akawa anafanya Kama atakavyo .kwa. ME akaona zarau zimezidi Kama lilivyo jina lake hasira zikampanda mwa.ME ndo hivyo akajichukulia Sheria mkononi!!
 
Back
Top Bottom