Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Mkuu, umeuliza "hivi wanaume mnawezaje kupiga wanawake" ww unashauri tuwafanyeje?
Sioni sababu ya kuwapiga wanawake halafu unakunja ngumi kabisa, pigana na mwanaume mwenzio au kafanye professional boxing kamtandike kiduku au dulla, mnajifedhesha kuwapiga wanawake ni vile hamjui tu
 
Sioni sababu ya kuwapiga wanawake halafu unakunja ngumi kabisa, pigana na mwanaume mwenzio au kafanye professional boxing kamtandike kiduku au dulla, mnajifedhesha kuwapiga wanawake ni vile hamjui tu
Wengi wetu Tunajua ila sasa kwa upande wa Wanawake wanautumia Udhaifu wao (kama kweli ni udhaifu) au Uanawake wao kama fimbo ya kuwachapia Wanaume.
 
Mwalimu kajishonea kanga zake kwa Fundi Maiko halafu anamharibu reception.

Sijawahi kujua faida ya CWT au ile Sijui Teachers nini.
Chama cha walimu Tanzania kipo kipo tu. mambo kama haya ndio walipaswa kuyafanyia kazi. Hii ni aibu kwa cases za walimu kupaziwa sauti na taasisi/watu binafsi wakati wanachombo chao ya kucheki accountability ya wanachama wake.
 
Wengi wetu Tunajua ila sasa kwa upande wa Wanawake wanautumia Udhaifu wao (kama kweli ni udhaifu) au Uanawake wao kama fimbo ya kuwachapia Wanaume.
.. Natambua hilo kaka mwanzo nilikua sijui namna ya kuwadhibiti wanawake wenye mdomo na pia ambae anautumie kuegemea udhaifu huo kuwa mwanamke apigwi, nilishadhibiti mmoja kwa hivyo nikamtoa alama sana nikajajijua sio sahihi sana kuwafanyia hivyo na kujuta sana tangu siku hiyo miaka miwili sasa, nikiona anaongea sana au amenikosea nitamtfuta wakati na amani ya moyo nimuelimishe
 
Je, ikiwa kwa mfano wa huyu Mwl. aliyepigwa sio mke wako utampatia wapi na kadri muda unavoenda yy ndo anazidisha maudhi.?
Mm nafikiri ni bora tu kusamehe na endapo ikitokea shida iliyokithiri unatafuta njia bora zaidi ya kumfikishia ujumbe badala ya mkong'oto. Nadhani huyo Mwl. Hasira kwa ss anajilaumu kwa alichokifanya esp. akitafakari kwa kina nini hatima ya kitendo hicho na mustakabali wa kibarua chake.
 
Hata Kama upande wa pili utasikilizwa,mwalimu Hasira amekosea kumpiga mwalimu mwenzake,Ni kosa kwa mtumishi wa umma kupiga au kupigana.
Hujawahi kufuatiliwa mpaka unashindwa kuzuia hasira unaweza kuta ameshamueleza Mara nyingi tu acha kumfuatilia mitikasi Zangu mtoto wa kike hasikii so unajua wanawake wanakua na visirani
 
Kama hapo shuleni Kuna walimu wengi tu swali la kujiuliza kwanini apigwe Mwl witnes tu?
....Pia mbona walimu wenzake hawakutoa msaada? n.k.n.k .. yapo maswali mengi ya kujiuliza na pengine yasipatikane majibu yake. Lakini yooote hayo na mengine meeengi ...bado hayajafikia kuhalalisha mwl.Witness kupigwa na kuumizwa hivyo.
 
Je, ikiwa kwa mfano wa huyu Mwl. aliyepigwa sio mke wako utampatia wapi na kadri muda unavoenda yy ndo anazidisha maudhi.?
Mm nafikiri ni bora tu kusamehe na endapo ikitokea shida iliyokithiri unatafuta njia bora zaidi ya kumfikishia ujumbe badala ya mkong'oto. Nadhani huyo Mwl. Hasira kwa ss anajilaumu kwa alichokifanya esp. akitafakari kwa kina nini hatima ya kitendo hicho na mustakabali wa kibarua chake.
Kama mwalimu huyu unampeleka kwenye kamati au ngazi tofauti za kufikisha malalamiko lakini sio kumpiga, unajua nchi kama UK ukimgusa mwanamke kwa kumpiga sheria ni kali unawekwa ndani
 
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkuyuni mkoani humo Mussa Basila (46) kwa kumshambulia kwa fimbo na ngumi hadi kumng'oa jino mwalimu mwenzake Witines Clemence (31).
Chanzo cha ugomvi huo hakijajulikana na uchunguzi wa tukio unaendelea https://t.co/wLIdviTqnC
 
Kama mwalimu huyu unampeleka kwenye kamati au ngazi tofauti za kufikisha malalamiko lakini sio kumpiga, unajua nchi kama UK ukimgusa mwanamke kwa kumpiga sheria ni kali unawekwa ndani
Nakubaliana na ww kwamba Kama ni jambo la kikazi, kijamii unaweza kumpeleka kwenye kamati au malalamiko yako Ngazi tofauti. Shida inakuwa ni pale Kero iliyopo baina yenu ni ya Siri e.g. Hoja ya Mapenzi kazini au amebaini Siri zako na ww unahofia atazitoa kwani ana kidomo-domo sana (Hana kifua) au anakuchafulia mishe zako - hayo hutakuwa na msingi wa kuyapeleka mbele.
 
Back
Top Bottom