Mwalimu wa english language & geography-PGDE

TATA PANYA

Member
Jul 26, 2013
54
7
Nina level ya Postgraduate Diploma in Edu kwa masomo tajwa hapo huu kama kuna shule ya private INA nafasi ya mwalimu masomo hayo an PM
 
PGDE hauko competent kwa masomo hayo, maana wewe umesomea tu mbinu za ufundishaji.
 
Huna kazi wewe! Sio lazma ucoment
Pgde husomwa kwa muda wa mwaka mmoja na mtu ambaye amesoma masomo nje ya ualimu, na unaposoma Pgde unafundishwa masomo ya namna ya kufundisha ikiwemo mitaala, kuandaa scheme of work, lesson planning kifupi inakuwa imebase kwenye Education foundation na sio masomo ya kufundishia mtu aliyesoma pdge hajui kozi yoyote ile ya Kiingereza inayosomwa chuo hajui pragmatics, discourse analysis, na hata ukimuuliza GIS ni nini hawezi kukujibu, ndio maana huwezi kulinganisha mtu ambaye amesomea ualimu pure na post graduate ya mwaka mmoja.
 
Huyo ni mwalimu competent!
iyo GIS hana ulazima wa kuijua kwani secondari zetu hizi haifundishwi

Wewe mwenyewe hapo unayo tu na haikusaidii lolote
 
Huyo in moja ya wanaofanya wanafunzi wafeli maana unawapa wanafunzi kitu ambacho hakipo kwwnye mtaala Sasa GIS mwanafunzi itamsaidia nini mbinu za ufunsishaji ndio kila kitu unaweza ukasoma miaka mitatu lakini ukajua kusahihisha tuu hata kutunga paper kwa kutumia TOS ukashindwa kama Mwalimu.
 
Back
Top Bottom