Yaa asante kwa mwangaza huu, inaonesha ni kijijini japo panafikika. kwa ss tuliokulia vijijini umeme sio kipaumbele, tunaangalia usafiri kwanza, then nishati mbadala hua tunaziboresha kama solar nk.Shule inaitwa mabuimerafuru,ni kijijin,hakuna umeme.atapanda gari za majita hd njia panda ya mabui kisha boda hd huko.
Namtakia kila la kheri,ajiandae na udongo mwekundu wa mfinyanzi.
vp shughuli za uchumi huko ni zipi mkuu? na kama unafahamu umbali toka town ni almost km ngapi? ASANTE