MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Shule ipo umbali wa km 55 toka same mjini.iko barabarani na mazingira siyo mabaya karibu sana
 
Nastic mbona serikali imetoa fedha za kujikimu?
 
waliopangwa karagwe hasa ndama secondary karibuni sana mjini kayanga kila kitu kipo poaa,mi nipo kayanga pm kama unahtaji maelezo zaidi
 
Hela ya kujikimu tumepewa na mnabembelezwa chukueni Hela zenu
 
Wap huko?? Wengi wanalala kwenye kumbi za halmashaur hata hawajaona sent....

huku nliko walimu wapya wanaishi kwenye nyumba za walimu waliowakuta,, tena bure mpaka watakapopata pa kupanga.
kweli huku walimu wameonesha upendo kwa wenzao hakuna anayehangaika na makazi.
 
Jamani kwa mtu anaeifahamu wilaya ya Ukerewe atujuze. Dogo kapangiwa huko....Mazingira yakoje kiujumla...?
 
Jamani kwa mtu anaeifahamu wilaya ya Ukerewe atujuze. Dogo kapangiwa huko....Mazingira yakoje kiujumla...?
Akaribie maisha mapya ya kisiwani, atumie umeme kwa mara ya mwisho pande hizo umeme ni hadithi, kama hajawahi panda meli ndio ajipange.
 
Back
Top Bottom