Mwalimu ukiwa upinzani tunakupa kesi ya ubakaji. Afisa elimu mkoa iringa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Haya walimu, Kazi mnayo , Kwa mujibu wa tume ya utumishi WA walimu inasema mwalimu yupo huru kuwa Chama chochote cha upinzani Sasa hili poyoyo sijui hizi kauli linaziokota Wapi
1698851465996.jpg
 
Haya walimu, Kazi mnayo , Kwa mujibu wa tume ya utumishi WA walimu inasema mwalimu yupo huru kuwa Chama chochote cha upinzani Sasa hili poyoyo sijui hizi kauli linaziokota Wapi View attachment 2800331
Kwanza Wa aliim ni watumishi wa wa Tanzania na sio kikundi cha propaganda cha Chama chochote Kile cha siasa katika nchi hii! Kwa kauli hii basi natupoteze Imani na serikali juu ya muhukatabali wa watoto wetu!!??
Na nikwanini miaka hii nchi yetu iliyoheshimika kwa kuwa na viongozi wenye mvuto, staha, hekima na vipawa vya uongozi kuwa na watu wa namna hii Katika jopo la uongozi!!!? Taasisi ya Mwalimu Nyerere, vyuo vya jeshi Kama kule monduli hawatengenezi viongozi siku hizi mpaka nchi ina ajiri watu wa sampuli hii kweli!!?
Kwa kauli huyu astaafishwe kwa manufaa ya umma! Mama zetu wanezaa viumbe wenye uwezo kuliko huyu!
WAZIRI HUSIKA! TUNASUBIRI UTUAMBIE UNAFANYA NINI JUU YA HILI😡
 
Sio walimu wote au watumishi wote mioyo yao ipo CCM ila They have been dragged forcefully to abide by government terms in favouring CCM. Huyo ameamua kuweka wazi Ila ukweli ndio huo...
 
Sasa kama ndio hivi... Siku utawaka wa sisiemu ukianguka nchi ikiwa chini ya mtawaka mwingine watajificha wapi hawa wabwatukaji? Wawe na akiba ya maneno
 
Kuna vitoto vya kike vya shule ni vishenzi sana, hutumiwa kuzusha kashafa za ngono kwa walimu wa kiume wenye upinzani. Walimu wapika kashfa huchagua wanafunzi walionona, wamejaziajazia matiti na matako ambao wako vizuri kubeba mtu mzima wasingizie kuwa mwalimu fulani huwatongoza na kuwashikashika matiti na matako na hulala nao. Watoto hao hupangwa kufanya hujuma kwa mwalimu mpinzani. School baraza huitishwa kwa dharura na wanafunzi hupewa wasaa wa kusema kero zao. Hao walipangwa huinua kidole na kupewa ruhusa ya kesema kero yake. Atasema mwalimu fulani humfanyia vitendo vya ngono, na mwingine huja na hoja ya ngono mpaka wafikie saba au zaidi na wote kero yao ni ngono tu. Mwalimu huchafuliwa na kuishia kushangaa kitendo ambacho hakufanya
 
Hii ipo sanaa, wala sio uongooo.
 
Back
Top Bottom