Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,385
Huyo babu kala luswa
BAVICHA tafadhali toeni elimu ya kusoma na kuandika kwa wapambanaji wa mitandaoni.
Huyo babu kala luswa
Siko tayari kutukana, ila jua kua maneno aliyoyasema hakustahili kuyasema dhidi ya Nyerere.
Ndipo tunapokosa direction kama taifa iwapo sifa ya kisiasa ni kumwaga matusi tu.
Kwa akili zenu, na u CDM wenu bado mnaona kabisa Lissu alikuwa sahihi kutumia lugha zile na kumwita Mwalimu Nyerere mwongo! Kwa hiyo unataka kuwaambia watanzania kuwa mwasisi wenu wa CDM ni bongo lala kwa kuwa Lissu hakutoa tusi lolote? Kweli CDM sasa siasa zimewashinda!
Na wewe una matatizo ya kujua maana na matumizi ya meneno; umetafuta majina badala ya maneno. Nitakusaidia kwa kuanza hivi: " Maneno ni upanga wenye ncha mbili zinazokata pande zote. Maneno yako yanaweza kukufanya uwe na hatia na vile vile yanaweza kukuondoa kwenye tuhuma za hatia. Yote inategemea na jinsi unavyotumia maneno yako."
Halafu nitakurahishia hivi:
MANENO yote yaliyowahi kutoka mdomoni mwa Lissu yanatakiwa yaangaliwa kwa makini, mfano yakiwa yale maneno yake dhidi ya Zitto na Kitila.
Siko tayari kutukana, ila jua kua maneno aliyoyasema hakustahili kuyasema dhidi ya Nyerere.
Tusi kubwa alilotukana Lissu, ni kuuliza uhalali wa kumuweka kizuizini Mzee Jumbe kule Mjimwema.
Kwa akili zenu, na u CDM wenu bado mnaona kabisa Lissu alikuwa sahihi kutumia lugha zile na kumwita Mwalimu Nyerere mwongo! Kwa hiyo unataka kuwaambia watanzania kuwa mwasisi wenu wa CDM ni bongo lala kwa kuwa Lissu hakutoa tusi lolote? Kweli CDM sasa siasa zimewashinda!
Matusi ni maneno ya kawaida. Yanakuwa matusi tu pale yanapotumika kudhalilisha (discredit) watu wengine, vinginveyo siyo matusi. Nimeuliza iwapo muuliza swali ana threshold yoyote inayotofuatisha matusi na maneno mengine, hajanijibu ila wewe umeingia kumsaidia. Msioona matusi katika maneno ya Lissu ina maana kuwa hamuoni udhalilishaji katika maneno yake, na inakuwa ni vigumu kuwaridhisha. Nyie wanasheria nadhani mnajua sheria za Defamation of Character ambazo kwa lugha rahisi ni sheria dhidi ya kutukana. Ni mnajua ni mambo gani yanayotumika kutukana na ni yapi; na vile vile mnajua kuwa kuna hata sheria dhidi ya kutukana mtu aliyekiwsha fariki?
Kwa akili zenu, na u CDM wenu bado mnaona kabisa Lissu alikuwa sahihi kutumia lugha zile na kumwita Mwalimu Nyerere mwongo! Kwa hiyo unataka kuwaambia watanzania kuwa mwasisi wenu wa CDM ni bongo lala kwa kuwa Lissu hakutoa tusi lolote? Kweli CDM sasa siasa zimewashinda!
......Lissu aliwahi kuzungumzia issue za majaji walioteuliwa na JK......ukisoma kw amakini utaona uchambuzi wake ulikuwa una walakini fulani.......washabiki wa siasa wakabaki kushangilia!!........nakubaliana na wewe kuwa ni muhimu tuwe makini na maneno yatolewayo na watu mbali mbali..........
Moja ya jambo ambalo limeijengea Sifa sana JF ni kutokana na baadhi ya wanachama wake kuwa na uchambuzi mahiri........Umaarufu wa JF....Ni utamaduni wa kuchambua.......siku hizi kumetokea wanasiasa wengi wanataka kuivuruga JF yetu hapa....i.e. hapa pumba zinawekwa mchana kweupe na mchele vivyo hivyo.....
Mi nasema mtu yeyote akikosea atakosolewa na akifanya vizuri atasifiwa na kwa mujibu wa imani yangu ni Mungu tu hakosolewi kwa sababu yeye ni PERFECT. Kutotaka Nyerere akosolewe ni kujidai eti alikuwa PERFECT katika maamuzi yote aliyofanya. Hii si Kweli lazima tubadilike tumweke binadamu yoyote kwenye mizani bila kujali umaarufu wala hekima ya kibinadamu aliyo nayo. tukijidai eti kumkosoa nyerere ni Dhambi inayostahili adhabu kubwa tutakuwa tumefisha uhuru wa fikra na hivyo kujifungia kwenye blanket la umbumbumbu wa hali ya juu. Nyerere was not God na hatakaa awe Mungu kwani kuna aliyofanya mazuri na kuna aliyokosea kama binadamu. Tumemsifia miaka yote kwa mazuri aliyofanya na kama alikosea basi anastahili kukosolewa. inakuwaje kukosoa mawazo na matendo ya nyerere eti ni MATUSI ;huu ni unafiki mkubwa wa kuzima mawazo chipukizi yenye mtazamo wa mawazo huru
Umenena mkuu, lakini umemsahau pia Lyatonga Augustine Mrema mzee wa Kiraracha ambaye aliimarisha usafi wa jiji la DSM na kuleta vivuli vya miti na pavements katikati ya jiji kwa amri ya siku 7, ingawa fadhila za JK zimemfanya aonekane kutikiswa siku hizi kimsimamo na kuegemea lolote la ccm hata bila kuchuja kama zamani. mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni. Kaifanyia nji hii mambo mengi sana mazuri ambayo hapaswi kusubiri afe ndo tumsifu.Namkubali sana Nyerere, lakini hiyo haitamaanisha kuwa pale alipokosea iwe dhambi kumkosoa! Naungana na mtoa mada: kama tumeshindwa kutaja makosa ya Tundu Lissu, kama tumeshindwa kuyataja matusi aliyo tukana, basi tukae kimya. Nilichokiona mimi ni mtu kukosolewa alipokosea na mkosoaji alikuwa sahihi!
Anayetaka kueleweka aje na hoja yenye ushahidi kwamba aliyosema Lissu siyo kweli na hayakusemwa na Mwalimu, hayakufanywa na mwalimu na hayakuandikwa na mwalimu!
Napenda kusisitiza, ni katika jamii ya wendawazimu na wasanii wa kisiasa tu, ambapo watu watajidai kupenda kujali na kumtetea marehemu, huku tukishindwa kuwaheshimu wazee wetu walio hai kama kina Mzee Warioba, kina Mzee Aboud Jumbe na wengineo. Halafu tusubiri mpaka nao wafe ili tujidai tunawaheshimu. Tuache unafiki!
Haya Matusi kwa Nyerere hamuyaoni?muungano sasa umevurugwa Zanzibar imekuwa Nchi bila lidhaa ya Watanganyika, hili ni Tusi kubwa kwa Nyerere kwani Muungano aliotuachia ulikuwa ni kuelekea Kuwa na Serikali moja na Kuwa Taifa moja,Matusi yapo mengi sana ,huu Ufisadi ,rasilimali kutoroshewa nje ya Nchi,Uwekezaji wa kimagashi,Tamaduni zetu na Maadili kuporomoka kwa kasi Haya ni matusi kwa Nyerere , Siku hizi imekuwa ni Kawaida Vijana kuvaa Nguo chini ya makalio imekuwa kawaida hata wanawake wanavaa nguo za utata Hakuna wa kuthubutu kuwakemea , haya ni matusi makubwa kuliko hayo ya Lisu.Mimi ninafikiri waliomtukana Nyerere tusi kubwa ni wale walioua AZIMIO lake la ARUSHA na kuweka AZIMIO la Zanzibar badala yake. Hawa mahayawani wanatetea maslahi yao na familia zao. Walijua Azimio la Arusha lilikuwa linawabana kwa hivyo hawakuona haja ya kuwepo mjadala wa kitaifa kuhusu hilo. Lakini kwa vile wanajua Muungano wa serikali mbili ni lulu kwao kuendeleza usultani mamboleo basi ndo unaona wanahahaha kila kuchapo kutafuta vihoja mshenzi kulinda status quo. Washenzi sana hawa.