Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Mshahara wa shs. 650/- boss, na una maliza mwezi bila wasi wasi na kusomesha na ndugu unawasaidiaYupo juu ya phonex/swala. Enzi zetu ukisha kusanya mshahara wako unanunua baiskeli phonex au swala unaiwekea na site mirror.
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app