Sjui Kama anaweza kuendeshaHivi Mkapa aliwahi kupanda baiskeli kweli?
Baiskeli gani ya kuvumilia weight ya Ben? Kwa spoku gani? May be zile Phoenix za zamani...Hivi Mkapa aliwahi kupanda baiskeli kweli?
Mkuu acha utanii aise si tungeokota mifupa chini [emoji3][emoji3]Hivi Mkapa aliwahi kupanda baiskeli kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baiskeli gani ya kuvumilia weight ya Ben? Kwa spoku gani? May be zile Phoenix za zamani...
Swala hio angalia maandishi hayo.Yupo juu ya phonex. Enzi zetu ukisha kusanya mshahara wako unanunua baiskeli phonex au swala unaiwekea na site mirror.
Ni swala hiyoYupo juu ya phonex. Enzi zetu ukisha kusanya mshahara wako unanunua baiskeli phonex au swala unaiwekea na site mirror.
Yap' ni swalaNi swala hiyo
Swala hio angalia maandishi hayo.
Nimeona ni swala. Swala na phonex zilikuwa zinamuonekano unaofanana![]()