Mwalimu na mwanafunzi

Mwalimu na mwanafunzi

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,495
Mwalimu Wa Hesabu Alikuwa Anafundisha Akamuuliza Juma Swali,
Mwalimu: Kama Kwenye Mti Kukiwa Na Ndege 100 Halafu Ukachukua Bunduki Ukawaua 20 Watabaki Ndege Wangapi?
Juma: Hatabaki Hata Mmoja Kwasababu Ya Mlio Wa Bunduki. Mwalimu: Hapana Umekosa Watabaki Ndege 80 Ila Nimependa Jibu Lako Umewaza Mbali Zaidi.
Juma: Na Mimi Nina Swali, Wanawake Watatu Walikuwa Wanakula Ice Cream Kwenye Hotel Wa Kwanza Alikuwa Anailamba, Wa Pili Kwa Kuimega, Wa Tatu Kwa Kuinyonya Hivi Unafikiri Ni Yupi Atakuwa Mke Wa Mtu?
Mwalimu: Bila Shaka Ni Yule Anayenyonya.
Juma: Umekosa Mwalimu, Ni Yule Mwenye Pete Ya Ndoa, Ila Nimependa Jibu Lako Umewaza Mbali Zaidi
 
Mmmmh..
 
Back
Top Bottom