Mwalimu Mkuu wa Saint Marry Apigwa Mapanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Mkuu wa Saint Marry Apigwa Mapanga!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Jun 1, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leo mtoto wangu wa grade 1 anayesoma saint Marry Tabata amerudi na kunipa habari mpya, aliniambia kuwa mwalimu mkuu wao ambaye ni mkenya Mr Kamau kapigwa mapanga na majambazi jana usiku, sikumuamini nimejaribu kuulizia nikaambiwa ni kweli kapigwa mapanga hali yake mbaya sana yuko icu na hao watu hawakuchukua kitu, wenye data kamili
  hapa jamvini watuhabarishe....
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  BOFLO, si ukitaka datas uulize huko shule kama kweli mwanao asoma hapo? au nawe umepata mtaani hi taarifa?.
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Anasoma grade wani ya ufundi wa nini?
   
 4. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Boflo, mbona umekosea maandishi ya jina la shule ya mwanao? St Marry?

  Halafu hujakosea mara moja basi. Badilisha bwana, ili pia uweze kumsaidia mwanao akianza kupewa homework. Sawa,eh?
   
Loading...