Mkweliii
Member
- Apr 15, 2025
- 14
- 5
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA hawajajiandaa kwa chochote zaidi wako wanajiotesha ndoto za kugomea au kuzuia uchaguzi, wao wanadhani kuzuia uchaguzi kwenye nchi hi ni rahisi kama kuzuia mkojo".
Mwl. Mbelwa Petro, aliwahi kuwa Mgombea kiti cha Ubunge Biharamulo Magharibi 2020 kupitia CHADEMA, amesema hayo akiwa anapokelewa na Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Stephen Wasira, 25 Machi, 2025 mkoani Kagera.