Mwalimu mafunzo kwa vitendo!

Mwalimu mafunzo kwa vitendo!

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
4,838
Reaction score
3,673
Kuna mwalimu mmoja ambae yupo kwenye mafunzo kwa vitendo, kutoka chuo kimoja hapa tz alietoa kali ya mwezi.
Siku aliokuwa anafanyiwa 'assesment' alichanganyikiwa vibaya mno.
Kaingia class na vifaa vyake vya kazi, kaaza kufundisha huku mwalimu wake akimwangalia kwa umakini mkubwa.
Jasho likawa linamtoka,
He! ghafla akajifuta kwa kitambaa cha kufutia ubao. Wanafunzi hoi kwa vicheko. Maskini mwalimu akasahau hata alichokua anaendelea kufundisha.
Kaambiwa atarudia tena ili aweze kufanyiwa 'assesment' upya.
 
Aisee,si utani hii nimeishuhudia nikiwa o-level,mwalimu alidata mpaka akaweka duster mfukoni,jasho linamtiririka,akichora mstari ubaoni,badala ya chaki linatokea jasho tu!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....uuh mbavu zangu!
 
Huyu tunategemea afaulishe watoto kama mwenyewe hajiamin??????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom