TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.

Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU.

Best Teacher in Geography, mwalimu Mtegetwa alikuwa na kituo maarufu cha masomo ya ziada na kutoa mitihani Msimbazi, Dar es Salaam.

=======

Educational Background:-
  1. Primary Education 1982 - 1988 At Ruvu Darajani Primary School Bagamoyo.
  2. Secondary Education ( O level ) 1989 - 1992 At Lugoba Secondary School.
  3. Utete Secondary School Rufiji.
  4. Zanaki Institute Of Adult Education DSM And AIC - DSM (A level ) August 1994 - May 1997.
  5. Univesity Of Dar Es Salaam - FASS 1998 2001
He was also Employed as full and part time A level Geography Teacher at Various Secondary Schools
  1. Al Haramain Seminary (DSM) July 2001 - March 2005.
  2. Kinondoni Muslim (DSM) February 2002 - March 2003.
  3. Mororgoro Secondary School (Morogoro) May 2003 - July 2004.
  4. Ridhiwaa Seminary DSM August 2004 - September 2005.
  5. Telenets (T) LTD 2013 - 2015.
  6. Msolwa Seminary School (Morogoro) 2015 - 2016.
  7. Baobab Secondary (Bagamoyo)
R.I.P fundi wa Geography Tz.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Hizi dini tulizaliwa tukazikuta usitake kujifanya kuwa ww ndio muasisi wa hizi dini kuliko waliozileta...kuwa na kiasi laa sivyo zitakupeleka pabaya. Udini ni kitu kibaya sana na cha kipumbavu.
 
ᴅᴀᴀ ᴜᴍᴇɴꞮᴋᴜᴍʙᴜsʜᴀ ᴄʜꞮᴍʙᴏ ʟᴀ ᴘʜʏsꞮᴄᴀʟ ɢᴇᴏɢƦᴀᴘʜʏ........! Ʀ.Ɪ.ᴘ ᴛᴇᴀᴄʜᴇƦ ....ᴍᴛᴀᴀᴀʟᴀᴍ.....ᴋꞮᴄʜᴡᴀ
 
Mafundi wanatuacha na ujinga wetu bila kutumia hata nusu ya vipaji vyao
RIP Mody physics
RIP mtegetwa.
 
Alikuwa anatoa tuvitabu twake flani vidogo vidogo .
Ukikasoma na kukaelewa hauna haja na tuition.
Climatology ,Soil, nilikuwa siachi swali kwa sababu ya vitini vyake.Apumzike kwa amani mwamba
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Nani ana muda wa kuwabatiza? Hakuna Mwalimu mwenye muda wa kuwabatiza wala kuwajaza majini
 
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.

Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila utahamishiwa Nyumbani Kwao Ruvu Na mazishi yanatarajiwa kufanyika Siku Ya Ijumaa March 1, 2024 huko RUVU.

Best Teacher in Geography, mwalimu Mtegetwa alikuwa na kituo maarufu cha masomo ya ziada na kutoa mitihani Msimbazi, Dar es Salaam.

=======

Educational Background:-
  1. Primary Education 1982 - 1988 At Ruvu Darajani Primary School Bagamoyo.
  2. Secondary Education ( O level ) 1989 - 1992 At Lugoba Secondary School.
  3. Utete Secondary School Rufiji.
  4. Zanaki Institute Of Adult Education DSM And AIC - DSM (A level ) August 1994 - May 1997.
  5. Univesity Of Dar Es Salaam - FASS 1998 2001
He was also Employed as full and part time A level Geography Teacher at Various Secondary Schools
  1. Al Haramain Seminary (DSM) July 2001 - March 2005.
  2. Kinondoni Muslim (DSM) February 2002 - March 2003.
  3. Mororgoro Secondary School (Morogoro) May 2003 - July 2004.
  4. Ridhiwaa Seminary DSM August 2004 - September 2005.
  5. Telenets (T) LTD 2013 - 2015.
  6. Msolwa Seminary School (Morogoro) 2015 - 2016.
  7. Baobab Secondary (Bagamoyo)
Admins Jf,hebu hii habari wekeni na page yenu ya Insta,X huyu mwl amefundisha watu kibao wako sehemu mbali mbali wapate taarifa jabali la geography Tz limedondoka.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
huyo ni muislam mjinga wewe.
 
Kasomesha Alharamain? Halafu kuna wapumbavu wachache humu wanasema waislam wanabagua. Kuna walimu wanaingia na misalaba yao ktk shule za kiislam.

Ukianza upuuzi wako wa kutaka kubatiza watoto wetu hapo ndio utapoona moto wa waislam
Umeona Sasa? Nilishasemaga Muisalmu anayejielewa ni yule tuu ambaye hajang'ng'ania uislamu..

Mtegetwa alikua Muislamu tena pure na Atazikwa kiisalmu.
Si umeyaanza??? Kula chuma hioo 👇
1708695199868.jpg
 
Back
Top Bottom