Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,176 Apr 4, 2015 #2 Mwalimu Nyerere, mtu wa watu
General8 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 996 Reaction score 863 Apr 4, 2015 #3 Nimeipenda sana hii
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Apr 4, 2015 Thread starter #4 Wale wanaojiita wazalendo na kujinadi kuwa wanafuata falsafa za mwalimu haya wanayaweza kweli? Au ni kutafuta tu kick ya kisiasa?
Wale wanaojiita wazalendo na kujinadi kuwa wanafuata falsafa za mwalimu haya wanayaweza kweli? Au ni kutafuta tu kick ya kisiasa?
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Apr 4, 2015 #5 mshana jr said: Wale wanaojiita wazalendo na kujinadi kuwa wanafuata falsafa za mwalimu haya wanayaweza kweli? Au ni kutafuta tu kick ya kisiasa? Click to expand... hakyamungu kama wakiyaweza nitatembea uchi kutoka buguruni hadi kariakoo.
mshana jr said: Wale wanaojiita wazalendo na kujinadi kuwa wanafuata falsafa za mwalimu haya wanayaweza kweli? Au ni kutafuta tu kick ya kisiasa? Click to expand... hakyamungu kama wakiyaweza nitatembea uchi kutoka buguruni hadi kariakoo.
C Capt Nemo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,445 Reaction score 681 Apr 4, 2015 #6 Idd Ninga said: hakyamungu kama wakiyaweza nitatembea uchi kutoka buguruni hadi kariakoo. Click to expand... kwa sababu hiyo tu au ni nudist??
Idd Ninga said: hakyamungu kama wakiyaweza nitatembea uchi kutoka buguruni hadi kariakoo. Click to expand... kwa sababu hiyo tu au ni nudist??
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Apr 4, 2015 #7 Mama Mdogo said: View attachment 240325 Mwalimu Nyerere, mtu wa watu Click to expand... Amependeza!
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Apr 4, 2015 #8 Capt Nemo said: kwa sababu hiyo tu au ni nudist?? Click to expand... namaanisha hakuna atakaeweza kufanya kama alivyofanya nyerere.
Capt Nemo said: kwa sababu hiyo tu au ni nudist?? Click to expand... namaanisha hakuna atakaeweza kufanya kama alivyofanya nyerere.