Mwalimu huyu anambeep Rais Magufuli?

igum

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
53
Reaction score
30
Yupo bar na mwanafunzi wake wa kidato cha tatu, Kibo pub - Igunga , anafundisha nguvu
moja sec - Igunga.

Tangu saa 5 asubuh wanakula mvinyo

We unaona sahihi mwalimu kukaa na wanafunzi wake wa kike bar mda huu, siku ya kazi , wanapiga mvinyo
 
We unaona sahihi mwalimu kukaa na wanafunzi wake wa kike bar mda huu, siku ya kazi , wanapiga mvinyo
Je ulimwambia hayo yote huyo Mwalimu? hata hivyo wengi hapa JF hatumfahamu, pengine hata si mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…