Mwalimu huyu alipwe bei gani?

b.w.e.g.e kabisa mtoa thread hii. Thread zingine zinajaza tu server. Huna akili timamu wewe ndo maana unawadharau walimu. Nina hakika hata babaako na mamaako unawakashifu kwa kuwa tu wewe unaishi nyumba yenye bati wakati wazazi wako bado wanaishi nyumba ya nyasi kijijini kwenu.
 
Kama ungekaa kimya kuhusu hili suala ningekuana una busara zaidi. Mara nyingi ukikubali mdomo ukutawale, matokeo yake ni kufua kutoelewa kwako!!!!!
 
Mwalimu is the sleeping giant siku mamboa yatakapokua magumu zaidi
hili dude litaleta mabadiliko makubwa acha tuone ni kitu gani kinachoendelea

Mwalimu hawezi kumhamasisha mwanafunzi asome wakati yeye mwenyewe amekata
tamaa na hivyo kunywa viroba asubuhi kwani maisha ni magumu kuliko tunavyoyafikiria
hii inawagarimu waalimu kwania wanapewa posho mishahara midogo ambayo inaishia tarehe 15
sasa we unafikiri mwalimu anauza visheti na karanga au amekunywa banana yuko chakari ili
aondoe stress za life mwanafunzi akimkutam atahamasika kuona umuhimu wa elimu kweli?
 
Nilipigwa ban refu ndio narudi leo lakini wewe *****ge naona unanitafutia kufungiwa kabisa hapa jf
 
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
Usitetee mitizamo ya kimagamba,nyama we!
 
Mavi ya ngedere
kichwa chako kibovu
 
Wewe ni nani ulete huu uzi wa kipumbavu namna hii. Unajifanya na elimu yako ya cheti ambayo haijakuelimisha popote. Leo hii kazi yako ikifa(God forbid), nakwambia utamshauri mwanao aende ualimu. Unaona ulivyo na kazi nzuri yenye mshahara mzuri unadhan na wanao wataifanya hiyo hiyo! Acha dharau kwa taaluma za watu wengine! Mpumbavu mkubwa wewe!!
 
nimeamini ww unaweza kula ugali kwenye chungu ukimaliza unakunya mavi ndani ya chungu hicho, pu***vu zako.
 
Ushauri wa bure:" Siku ingine usikurupuke kuleta mada ambayo haina mashiko!!!"
 
Bado najiuliza,mleta uzi ni BINADAMU TOLEO LA NGAPI? au na hii nimoja ya dalili za EBOLA!!unamtukana mwalimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au ndiyo maana mnawazalilisha adi mnawachapa viboko mbele ya wanafunzi wao.UBARIKIWE NA SHETANI,ULAANIWE NA MWENYEZI MUNGU
 
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.

Tatizo ni Malezi uliyoyapata toka ukiwa mdogo
 
Hivi wewe unaishi nchi gani ambayo raia wake hawana adabu kiasi hiki? wewe ni mtanzania? Au ndo uko kweny ekundi la wakimbilia mahakamani kushitaki watoto wao eti wamegoma wakifikiri wanatatua tatizo?
 
waalimu tuwaache jamani, tusiwaseme kabisa, waalimu wanastahili kuongezewa mchahara kabisaaa..hapo mi sina la kusema..tatizo langu mimi ni kwa hawa kina ulimboka...wanapata kiburi cha elimu ya udaktari baada ya kumaliza degree zao, bila kujua kuwa wamesomeshwa na watz masikini wanaowagomea....yaani tuwaasomeshe kwa hela yetu halafu mkimaliza mnatugomea ati tuwaongezee na mshahara...kwanini kina ulimboka hawakugoma wakati ule wanahaha kujiunga na chuo cha muhimbili|?
 
Kwanza nikusahihishe asilimia kubwa ya waalimu wetu hawajaenda kozi kwa wiki 4-6, wengi wamekwenda kwa miaka 2 na zaidi. Tukirudi kwenye bandiko lako, kwani hata kama mtu alipata div IV jhiyo unayosema na akaenda chuo cha ualimu akasoma akatahiniwa na chuo husika akapata cheti cha ualimu baada ya kukidhi matakwa ya mtihani bado unaona kuna shida? Si ameshakuwa mwalimu hapo, na kwa bahati mbaya nadhani waalimu wanachozungumzia ni udogo wa mishahara yao, hawajajilinganisha na mtu aliefaulu.

Sioni ubaya wowote kwa kweli

Kama ingekuwa hawakufauli mitihani ya vyuo vya elimu basi uba haki kuwa grade kutokana na matokeo yao ya form IV au VI

Mkuu jibu ni rahisi kama angalau ungemaliza darasa la tano ! hizo 250000 divide by siku 30 haraka haraka utapata jibu lako 8400 kwa siku, asilimia 85 ya watanzania wanapanga nyumba katika miji mikubwa na hata midogo sasa angalia pesa hiyo inamtosha vipi toka asubuhi mpaka anapanda kitanda ukizingatia anawezakuwa na family. wewe unajoke too much lakini ndo mawazo yako ! hapa ndo tunashindwa kupata dhana ya maisha bora kwa kila mtz (another jokes )
 
Back
Top Bottom