Mwalimu bora wa Physics aliyewahi kunifundisha

Mwalimu bora wa Physics aliyewahi kunifundisha

My best physics teacher ni MR MWAKITALIMA alikuwa mwalimu IYUNGA TECHNICAL

akiaanza fundisha unapata kama mkanda wa filamu kichwani unatembea juu ya hio mada .

Maswali yanaibuka kichwani na unajijibu mwenyewe bila kuuliza .

Too bad wakaenda kumpa u headmaster so Iyunga wakazulumiwa kichwa kile

Na mkewe aisee kemia ilala kichwani

Mwalimu Mwakitalima Man From Mwakaleli
 
Few teachers knows physics in tz

I noticed one called elias kihombo......

And my young cant use those pamphlets for his exams... That was just a young man i found him somewhere reading those rubbish physics... Et mtu anaaita mgote physics

Rubbish !

Mkuu huyo elias kihombo ni next level
Hao kina mgote,mood,ally abdallah,&Co
Hata wakiungana pamoja hawafui dafu kwa elias kihombo
Huyo kiombo ni best teacher wa phyz kwa Tz
 
moody anajua physics ya O-level... kwa advance ni mwepesi zaidi ya unyoya....
Kwa advance mi namkubali marehemu busanji... huyu anafahamika kwa vijana waliosoma fizikia miaka ya nyuma kidogo... sio wale wa BRN...
 
Hapa ngoja niseme kitu. Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wadau.

Japokuwa hizi elimu kwa dhati yake zina udhaifu mkubwa hasa katika misingi ya elimu hizo,yaani SAYANSI. Pamoja na udhaifu wa hizo elimu na uongo wake,kuna watu wanajua kuuwasilisha vyema udahifu huo na uongo huo,miongoni mwa mafundi wa kuuwasilisha huo uongo na udhaifu ni MUDDY nimesoma kwake somo hilo katika upili (O level). Kwangu mimi huyu bro anajua kuwasilisha Fizikia.

A'level sikusoma Tuition ila tulikuwa tunasoma notes zao hasa za Mgote ndio zilikuwa zinatufikia kwa wingi. Mgote nilikuwa namkubali kwa kuweka mifano mingi kadiri ya uwezo alio jaaliwa,na tulikuwa tunawaelewa vyema kwa kile walichokuwa wanakiwasilishwa na tukatoboa.

Ukosoaji upo na watu hatukamilika,ila wakosoaji wa humu hawajui kukosoa zaidi ya chuki tu na kutokuweka ushahidi juu ya yale wanayo yadai.
 
Kizazi cha twisheni, hizo twisheni zimeharibu sana wanafunzi ndo maana mkifika vyuo vikuu mnasapu sana sikuhizi.
Habarini wakuu wa jf.
Leo nimemkubuka Mwalimu wangu na kwa wengine ambae ni bora kabisa katika kizazi hiki na kijacho.

Huyu si mwingini ni Ngaola au ukipenda muite Moddy Physics/ Commissioner

Daah sitakusahau Baba, wewe ndie mwalimu wangu bora kabisa wa muda wote nilitesekaga sana kwenye Physics ila kwako nilipata unafuu mkubwa.

Marafiki zangu kipindi nipo A'Level na O'level walinibatiza jina la 'ZE YOUNG COMMISSIONER'
maana nilizipatia sana zile mbwembwe zako kama 'Let's stop here at this particula junction and if God wishes we shall meet 2moro"

Na jinsi ulivyokuwa unaguna yaani "mmhhhhhhh! mhhhhhh!"

Daah, sikuacha maarifa uliyonipatia nikae nayo peke yangu, ila nimeweza kuwafundisha vijana wengi wengi sana na nimepata sifa nyingi ila moyoni najua bila wewe nisingekuwa hivi.

Am so happy I'm medical personeel ila I love physics because of you na kwa sababu hukunikaririsha.

UISHI MAISHA MAREFU,COMMISSIONER
 
Mudy labda physics ya O level yuko njema Huko advance sidhani kama yupo poa
Hapo nakubaliana na wewe. Ila yule bro anajua kuwasilisha vyema Physics na anakuwa sababu ya kuona somo rahisi sana.
 
Mkuu huyo elias kihombo ni next level
Hao kina mgote,mood,ally abdallah,&Co
Hata wakiungana pamoja hawafui dafu kwa elias kihombo
Huyo kiombo ni best teacher wa phyz kwa Tz
Huyu si ndio yule aliyekuwa TO mwaka fulani,alitokea Tosamaganga sio ?
 
Mtoa mada nakuunga mkono japokuwa kuna watu wanawapondea akina ,Moddy ,mgote n.k lakin kiukweli kabisa pale mchikichini kuna huyo mudy ,mbuga na hidden hawa jamaa wanamchango mkubwa sana kwa wanafunzi wa pale Dar kwa miaka hyo Lakn kwa sasa sijui wapoje maana likizo Ile watu wanapiga pindi za kutosha then wakirudi skonga wanakuwa wapo nondo Kwan topic nyingi wanakuwa wameshapitia.binasfi nimesoma mojaWaPo ya shule za serikali Hapo katikati ya jiji bt mazingira ya school za serkili yanajulikana tu topic moja mnasoma hata mwezi so hao jamaa wametusaidia sana kijiandaa vyema na NECTA .Mchikichini oyeeeee
 
Kizazi cha twisheni, hizo twisheni zimeharibu sana wanafunzi ndo maana mkifika vyuo vikuu mnasapu sana sikuhizi.
Kwa mazingir ya elimu ya bongo bila tuit hutoboi labda uwe unasoma huko feza lakin kwa hzi school za kata lazima ujiongeze maana vitu ni vingi sana muda mchache ukichek hao Necta hawachagui topic so lazima zote ziwe kichwani
 
Physics bhana ilichonifanyia mungu anajua. Mswaki wake hadi leo upo kabatini kwenye gamba langu
 
Kwa mazingir ya elimu ya bongo bila tuit hutoboi labda uwe unasoma huko feza lakin kwa hzi school za kata lazima ujiongeze maana vitu ni vingi sana muda mchache ukichek hao Necta hawachagui topic so lazima zote ziwe kichwani
Sikweli , ni bidii na kujua kutumia resources zinazokuzunguka na zilizopo

Nitoe mfano mm ,nilichaguliwa kutoka O level kata , nikapelekwa shule ya A level kata hapo pwani , ndio sisi tuliianzisha , mazingira si rafiki, tulichaguliwa 100 kufikia wiki 3 tumebaki 70.

Likizo 99% wanaenda dar kwenye hizo twishen za kina Mgote , muddy , n.k

Binafsi sikuwa na hela nami nilitaman kusoma hizo teisheni, hivo wenzangu wanapoelekea dar ,mm narudi kwetu iringa


Mwisho wa siku necta ilitoa majibu , mm nilipenda kucheza na akili za necta, nilicheza sana na past papers, review , practicals , na kila topic nilipenda kujua key points hasa ,

Mwisho wa siku tuliopata Marks nzuri za juu tulikuwa wawili na tulienda UDSM, wengi walipata div 3 ,wakajazana udom n.k

Hivo sikweli kuwa bila twishen hutoboi ,ni kujipanga

Amin nakuambia Necta ya Tz ni past papers , jitahidi kila topic kuipiga mwenyewe kwa kutumia resources mbali mbali utaielewa tu , then zama kwenye review

Necta hawachomoki
 
Back
Top Bottom