TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 441
- 491
Natumai ni wazima pia poleni wote wenye matatizo kama wapo. Baada ya salamu ningependa kupata ufafanuzi juu ya jambo hili.
Mtu ni mwalimu wa secondary na ufaulu wake wa A-level unamruhusu kusoma kozi za computer science lakini watu wamekuwa wakisema mtu atapewa ruhusa ya kusoma na kupokea mshahara hadi atapomaliza masomo yake ikiwa anachosomea kinahusiana na kazi yake, haruhusiwi kusoma nje ya fani anayofanyia kazi unless kwa kujitegemea bila kuathiri kazi yaani asome baada ya kutoka kazini jioni au aombe ruhusa bila malipo.
Naomba kupata uzoefu wenu kwa kesi kama ya huyu mtu kuna uwezekano wa kumshawishi mwajiri amruhusu akasome?