saidibichi
New Member
- Oct 6, 2014
- 1
- 0
imetuliya iyo ilembaya
Kwani wanaume wanaofungwa kwa makosa kama haya watoto wao hulelewa na nani?
Huyo mwanafunzi wa miaka 17 ataweza kulea mtoto mchanga pamoja na kumnyonyesha?
Tuangalie Kimaadili Zaidi Na Sio Kumpongeza Tu Huo Dogo.
Kwa umri huo wewe ilikua haijaota?Miaka 17....
Walimu na sisi tuna nyege.
Walimu na sisi tuna nyege.
kwani ya mwalim inaviboko?
heshima kwenu wanajamvi. mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 17 amzalisha mwalimu wake mwenye umri wa miaka 25 huko rukwa.