ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Dunia imevaa gauni waungwana.
siyo gauni!, imevaa kipedo ........
Grand PA
Dunia imevaa gauni waungwana.
Hata mimi hili najiuliza
kwanini isiwezekane?Mwalimu wa sekondari ana miaka 25???? Yeye Kamaliza lini kusoma?
Mwalimu wa sekondari ana miaka 25???? Yeye Kamaliza lini kusoma?
Huyo mwalimu ana kesi ya ubakaji itakayomlazimu kuijibu km sheria itachukua mkondo wake.
Kiutaalamu upi?kiutaalam mwamaume habakwi, sababu ili mwanaume afanye hili tendo lazima uume usimame, na uume hauwez kusimama kama hajaamua kufanya hivyo.
Huko huko Rukwa mwanafunzi mwingine amenogewa na penzi la nguruwe