Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

no offence commited here. The lady is above the minority and the law is silence on the boy. Sanasana ni kosa la kinidhamu kwa mwalimu na mwanafunzi. Ni aina ya makosa madogo, no need for tamwa intervention. Mwalimu mkuu au ded anaweza kutoa adhabu na sanasana ni kumhamisha mwalimu na kumpa adhabu ya kusafisha choo kwa week moja mwanafunzi.
Thats all.

akyananai, hii sijui kwanini hatukuweka kwenye mapendekezo ya katiba mpya.
Kuna haja ya kuwa na chama cha kutetea wanaume!!
Any way kuna watu wana bahati za kuzaliwa......bigup dogo
 
maisha yanakwenda na kubadilika kwa kasi sana, yaani sana tu....
 
Basi itungwe sheria itakayotoa adhabu kwa yeyote atakaye bainika (kautupa)na mwalimu wake,kama jinsi ilivyo yakuwalinda wanafunzi..
 
heshima kwenu wanajamvi. mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 17 amzalisha mwalimu wake mwenye umri wa miaka 25 huko rukwa.
 
mh hyo mzuri kwa husia but mbaya kwa afya yake😱😱😀😛😀🙄😕
 
Back
Top Bottom