Ni uongo hii habari
Ushahidi
HABAR ZA USIKU NDG ZANGU! nina iman weng wenu mna ham ya kupata uhalisia wa habar zlzoenea mwf. kumzalisha mwl.wake ktk shule ya nkas ambayo ndy ktuo changu.
Nitafafanua kwanza kuhusu walimu wa kike ninaofundsha nao then ntafafanua mazingira ya kuandikwa hiyo habar ilivokuwa.
MOSI; shule ya sec.nkas ipo wilaya ya nkas mkoa wa rukwa, ina kidato cha 1 had 6 ikiwa na tahasusi za hgk,hgl,pcm & pcm (wasichana na wavulana). shule ina walimu 5 wa kike km ifuatavyo:-
>madam kasanga=huyu n mama wa makamo amehamia mwez uliopita kutoka morogoro,ana watoto wakubwa mme wake ni askar magereza.
>madam mwamini=huyu n mdada mdogo tu,ana mtoto mdogo ananyonyesha n mke halali wa mtu na anaishi na mmewe,mme wake anafanya kaz LAPF.
>Madam david=huyu n mdada tumereport nae mwaka huu.hana mtoto ila n mke halali wa mtu,mmewe n mwalimu anafundisha sumbawanga manispaa.
>Madam ipungu=huyu n mdada hana mtoto ila mpaka sasa nina kadi yake anatarajia kufunga harusi mwez wa 12.
>Madam balama=huyu pia n mdada na hana mtoto.
PILI;mazingira ya hiyo hbr kuandikwa n kwamba kuna taasis inaitwa TMEP(tz men equal partinership) n taasis inajihusisha na elimu ya kuwahusisha wanaume ktk elimu ya afya,uzaz na malezi.taasis hii inafanya kaz kwenye mikoa 2 tu yaan rukwa na singida.1/10/2014 walitembelea shulen kwetu km wakala kuja kukagua maendeleo,viongozi hao wakiwa wameambatana na mwandishi wa habar (siame) alimuuliza mkuu wa shule (mr.manga) je kuna umuhm wa hii elimu kutolewa?.mkuu ktk kujb akamwambia kuna umhm sn kwan siku za nyuma ktk shule ya msingi kabwe iliyomwambao wa ziwa mwl.wa shule ya msingi alizalishwa na kijana wa kidato cha 2 hii yote ikiwa n 7bu ya kijana kukosa elimu ya malezi;lkn tangu elim hii imeanza kutolewa tumeona mimba za hovyo hovyo kwa vijana zimepungua pia ushiriki wa wanaume kwenye masuala ya malezi ya watoto umeongezeka. but tatizo la waandishi makanjanja akareport km ndo tukio n jpya na limetokea nkas akiongeza na ubunifu wa maneno ili habr yake ishike kurasa za mbele za vyombo vya habar.KIMSINGI HAKUNA UKWELI WOWOTE NA KAMA TAASISI TUNAFIKIRIA KUCHUKUA HATUA KWA KUTUHARIBIA TASWIRA KTK JAMII.
ukweli ndo huo ndg zangu.
mwl.mwaipaja,m.l (akabhofu!!!!)
nkasi high school
p.o.box 119
namanyere-nkasi
0755223321/0785323239
mwaipajam@yahoo.com