Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

Navyo fahamu mimi sheria mnambana teacher. Moja kufanya mapenzi na mwanafunzi. Mbili kufanya mapenzi na mtoto ambaye yupo chini ya miaka 18 hata kama alikubali yeye mwenyewe sheria inamuona ni mtoto. Wengi hawajui sheria ndio maana makosa yanatokea kila siku. Kama anampenda mtoto wake bora akimbie maana sheria haitamuacha
 
duh, wadada ovyo

Inamaana huyo mtoto ameanza kuliona dude lakikubwa akiwa na miaka 16, daaah,,,,,!!! Kaumizwa sana kisaikolojia, maana ya mkubwa inatisha kwa mtoto, maana nakumbuka when i was about 7-8 yrs nilivamiwa toilet na mdada akanivulia nguo na kunambia niingize, maskin ya Mungu sikujua hata niingize nini na wapi, nilikimbia mbio za ajabu bila hata kivaa nguo zangu hali iliyomfa mama mzazi kugawa mfueni wa nguvu kwa binti yule, hadi leo ile picha ya ile kitu ilokua imejaa kichaka cha masharubu meuusi haijanito toka 1996/7,: Sheria ichukue mkondo wake juu yake huyo, TABIA MBAYA SANA KUWAHI KUTOKEA
 
Hamsini kwa hamsini waliyokuwa wanaipendekeza wabunge ndo inaanza kufanya kazi rasmi.
 
Watoto Wa Kike Wakipachikwa Mimba Na Mwalimu Hawa Wanaharakati Huja Juu Sana. Leo Mwalimu Wa Kike Kamrubuni Mwanafunzi Mtoto Wa Kiume Hadi Kamharibia Masomo Yake!! Kambebesha Mzigo Mkubwa. Kwa Kuwa Sheria Ni Msumeno Wanaharakati Toeni Tamko Na Mkamtetee Mtoto Wetu Wa Kiume Apata Haki Zake.
 
Huyo mwanafunzi kaharibiwaje masomo yake
Provide a good description of your thread
 
Kufanya mapenzi na mwalimu wake wa kike kiukweli mwanafunzi atakuwa anamharibu kisaikolojia lakini hata hivyo anaweza kumuambukiza (H.I.V)
 
Huyo mwanafunzi kaharibiwaje masomo yake
Provide a good description of your thread

Amemharibu Kisaikolojia,amembebesha Majukumu Ya Kuitwa Baba Kabla Ya Muda Wake Kufika, Kamfanya Asiendelee Na Shule, Kambaka Kumbuka Kutembea Na Mtoto Awe Wa Kike Au Wa Kiume Ni Ubakaji Na Sheria Ni Msumeno, Mengine Ongezea Mwenyewe Think Big!!
 
Ni aibu kwakweli! Mtu wa miaka25 kumvulia Nguo mtoto wa miaka17 its a shame!
 
mwanafunzi hana impact huyo wa kiume...... wa kike kwa sababu anakuwa na direct impact to her studies
 
No offence commited here. The lady is above the minority and the law is silence on the boy. Sanasana ni kosa la kinidhamu kwa mwalimu na mwanafunzi. Ni aina ya makosa madogo, no need for Tamwa intervention. Mwalimu mkuu au DED anaweza kutoa adhabu na sanasana ni kumhamisha mwalimu na kumpa adhabu ya kusafisha choo kwa week moja mwanafunzi.
Thats all.
 
No offence commited here. The lady is above the minority and the law is silence on the boy. Sanasana ni kosa la kinidhamu kwa mwalimu na mwanafunzi. Ni aina ya makosa madogo, no need for Tamwa intervention. Mwalimu mkuu au DED anaweza kutoa adhabu na sanasana ni kumhamisha mwalimu na kumpa adhabu ya kusafisha choo kwa week moja mwanafunzi.
Thats all.


Safi sana mkuu maelezo yako yametisha !!Good
 
huyo mwanafunzi kaharibiwaje masomo yake
provide a good description of your thread

ni kwamba kapewa hadhi ya kuwa baba kabla ya wakati na bila ridhaa yake.kisaikolojia ameathirika!!
 
Back
Top Bottom