Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

Mwalimu amzalia mtoto mwanafunzi wake

Hayo hata zamani yalikuepo sema ulikuwa huwezi fahamu, tofauti na siku hizi sisi tunachokonoa mambo sana!
 
mi naenda mbali zaidi naomba tujue na chuo alichosoma!!!!
 
Halafu jamani hii under 18 inawahusu wanawake tu??? maana tunaambiwa huyo kijana ana miaka 17
 
Mbona wote ni watoto,na hilo ni jambo la kawaida kabisa kwa vijijini au kwa vile vyombo vya habali vipo Dar tu.Gazeti la udaku bwana! Hiyo ndo mmeona habali kubwa sana,badala muandike hata ufisadi,kuuawa kwa tembo wetu,ukosefu wa madawa hospital,wanafunzi wanakaa sakafuni,mfano shule ya msingi gongoni iliyopo Tabora mjini jirani na Bank ya CRDB,jimboni kwa mpiga makofi bungeni bwana RAGE.
 
Nae mwalimu awajibishwe kama wanavyo wajibishwa wanaume

sasa kosa hapo liko wapi?

Hakuna sheria Tanzania inayosema mwanafunzi asimpe mwalimu mimba! :A S wink:

Halafu JK alisema pia wakipewa mimba ni viherehere vyao, hii iapply kwa waalimu pia!
 
HAPO CHILD Act HAIMUACHI HUYO MWALIMU

Tafsiri ya sheria hiyo ina mapungungufu,kidaktari mtoto hana uwezo wa kutiwa wala kutia mimba, ukiona yametokea hayo hao ni wakubwa.full stop!
 
Tafsiri ya sheria hiyo ina mapungungufu,kidaktari mtoto hana uwezo wa kutiwa wala kutia mimba, ukiona yametokea hayo hao ni wakubwa.full stop!

na SOSPA?
 
mwl huyo hana maadili ya kazi ,nafikili kama ni kweli basi tsd watakua wanajiandaa kumshughulikia,ila uthibitisho anao huyo mwl mwenyewe
 
Back
Top Bottom