Mwalimu alikufunza hii?

farkhina mie nlifundishwa na mama hio method. Na mimi niliwahi kuitumia enzi hizo nilipokuwa mwalimu wa hisabati primary.

Shuleni nlikuwa napenda sana hesabu na physics, kwa kuwa physics nayo pia ilikuwa na hesabu. Lkn mambo ya kukariri maandishi siyawezi mwenzenu.
 
Last edited by a moderator:

Ah mie kukariri ndio mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Sasa teacher Umsomeshe mshana jr kutafta wastani Na akikosea umfinye lol
 
Last edited by a moderator:
mimi naongoza kwa mzio wa hesabu..nilipoiona post ya jamaa nikapatwa na usingizi

Mkuu ni ugonjwa huu!
O-level niliziogopa sana japo nahic Ulikuwa uvivu Sijui! Huwez amin Necta nilikopy maswal na kuhamishia kwenye booklet kama yalivo (nielewe kama yalivo )

sasa chuo nikataman BA kimbembe Math but no way out!

Amazing sijawai hata kupewa SUP
Sasa nawaza nilikuwa nashindwa nini wakat ni mtu yule yule? ?????
 
Mwalimu Rajab atakuwa ni mwalimu mzuri sana wa hisabati.
 
Jamani kuna zile hesabu za umri, mnazikumbuka? Na zile za kugawanya kwa njia ndefu.
 


Mimi mwenyewe sijui hata nilichokiandika kwenye paper o-level ila niliramba mswaki wa maana...mswaki pekee katika matokeo yangu ya shule from kindergarten to chuo..kama wewe chuo si nikaitamani Bachelor of Science in Taxation? mzee akaniambia katika uamuzi wa kijinga uliowahi kufanya huu ni wa kwanza..nikamwambia itafahamika...amini nilimaliza ingawa first year ka-sup ka QM kalinihusu!!!!
 
Mwalimu Rajab atakuwa ni mwalimu mzuri sana wa hisabati.

ukweli huyu mwl alikuwa mzuri sana kwenye hesabu, nakumbuka ata kugawanya kwa njia ndefu alikaza msuli yaani akiingia anandika namba unakuta labda 1895/125 afu antaka njia ndefu tulikomajee??

hakuwa antaka kabisa turahisishe as watt wa leo wanarahisisha tuuu yy alitaka tugawanye kwa kutumia akili tuu
 
jaman yote tisa hesabu za logarithim na exponential yaani mpaka leo nasiadabia.........
yaani sijui ni uchawi gani uleee
sasa jiulize maswal ya physics eti unapewa log table kusoma angles uwiii RIP mr Lyimo yaani unataman ata kuwa kindege utoke ndani ya chumba cha mtihan...............
ukweli shule imerahisishwa sana yaani watoto wa kileo hata log tables hawazijui kila kitu calculator inamaliza...............
cha ajabu kbs shuon nikasoma bioststistics lol!!!!!!...........equatin za log zipo exponent zipo basi shidaaaaaa,
nikasoma tena kozi ingine Microbiology haya mahesabu yapo eti colony counting mweehh.......nikasoma ingine kuhusu waste water treatment mweeehhh nikazikuta ngoma zimebamba vilevile ndipo nikaconclude hesabu is inevitable aiseee

niliwah kutaman nirudi sekondari ningesoma ehsab kwa umakin zaid kuliko nilivyofanya zaman
 

spot on! mi mwenyewe ningerudi secondary ignekuwa kitabu cha hesabu nakiwekea cover la plastic ili niende nacho mpaka bafuni
 
spot on! mi mwenyewe ningerudi secondary ignekuwa kitabu cha hesabu nakiwekea cover la plastic ili niende nacho mpaka bafuni

HahahahhHa wewe unanichekesha sana bafuni na kitabu ili Iweje?😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…