Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake

Mkuu nimekwelewa hata kwa lugha yetu iko hivyo hata mi mwanzo nilikuwa napata wakati mgumu kutamka mbele ya watu ila ni kijiji kiko same huko
 
Watoto wa kike warudi shuleni wakishajifungua hii ni kwa faida ya mwanafunzi, mzazi na taifa kwa ujumla hakuna sababu ya maana yakuzuia watoto wasisome endao wamejifungua
 
Mwalimu amekula raw
raw imemhamisha makazi sasa hivi anajua akitiwa hatiani ni moja kwa moja korokoroni.
Mzazi ameongea kwa uchungu sana lakini sasa afanye nini!!
 
Back
Top Bottom