Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

duh! Kule wanaenda wakuu wote wa mataifa ya dunia, ukijitia mjanja huendi, utaenda kwa magoti. Ile ni dola kuu ya urumi duniani bado ina nguvu zake hakuna mtawala wa dunia hii anayefua dafu mbele yake
Wewe unaakili sana
 
When in Rome, do as the Romans does!. Mama Samia will bow down, wanaoibusu pete ya Pontiff ni viongozi Wakatoliki pekee!..
Vatican haijihusishi kabisa na siasa za nchi yoyote, ule waraka wa TEC, mwisho wake ni Kurasini!.
P
Hujui unachoongea siku ukijua utajua.
 
Ndugu kama umeandika haya pasi na kujua basi Mungu akurehemu,Lakini kama unafanya kwa Makusudi unaonyokubwa juu yako.Papa kavalishwa hicho cheo kinyume kabisa na neno la Mungu Tena cheo hicho kimeshiba damu za watu wengi sana........
Nafurahi kuona kuna vichwa humu viko na siri nyingi za dunia.
 
Huyo papa choko anaenda kupigwa biti asituletee wachungaji mapunga na kuja kuharibu tamaduni zetu za kiafrika.
Waraka wa KKKT na wasabato umeambatanishwa kwenye biti hili la kufa mtu

1706382915971.png
 
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican,

Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama,Je atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu kristo!? Je ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana!? Je atakwenda kuutetea vipi mkataba wa Dp World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika!?

Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania,watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.
Mosi,. Samia sio kiongozi wa kwanza Muislamu kuzuru Vatican tafiti wengine walifanyaje.
Pili Acha dhana potofu kuwa hakuna uamuzi nchi hii utakopita bila 'baraka' za Charles Kitima.
 
Ndiyo Mungu wa Dunia hii ..Siku Mimi nikiwa kiongozi nitavunja hizo protocol tuone atanifanya nini
Hayo ni maneno tu mkuu usiyachukulie serious kiasi hiki.

Siyo Pope tu raisi wa nchi yoyote anayejitambua akialikwa au akiona ana la kwenda kuzungumza na kiongozi fulani ataenda hope ndicho anachokifanya huyu mama nothing else.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndugu kama umeandika haya pasi na kujua basi Mungu akurehemu,Lakini kama unafanya kwa Makusudi unaonyokubwa juu yako.Papa kavalishwa hicho cheo kinyume kabisa na neno la Mungu Tena cheo hicho kimeshiba damu za watu wengi sana........
Na wewe umefanya kusudi kuandika mikono ya Papa imeshiba DAMU wakati ushahidi huna.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo papa choko anaenda kupigwa biti asituletee wachungaji mapunga na kuja kuharibu tamaduni zetu za kiafrika.
Waraka wa KKKT na wasabato umeambatanishwa kwenye biti hili la kufa mtu

View attachment 2885025
Wewe tayari umekiuka maonyo yaliyomo kwenye 1 Petro 3:15-16 kuwa tuwe tayari kuwajibu watu kwa upole na hofu. Neno "CHOKO"ulilotumia halikuweki tofauti kati yako na wapagani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jesuits wanatafakari kwa makini, hao ndio Vatican yenyewe.
ndio maana unajiita kibobori? unafanya tafsiri sisisi kuwa jesuit ni majasusi. kitu ambacho sio sahihi fuatilia soma uliza utajiona upo uchi kimaarifa. Jesuits ni shirika kama yalivyo mashirika mengine ya kitume mathalani White Fathers, Holy ghost fathers, Kapuchin, Benedictin etc etc.
The Society of Jesus, commonly known as the Jesuits, is a religious order within the Catholic Church founded by St. Ignatius of Loyola in 1540. The Jesuits are known for their commitment to education, missionary work, and social justice. They follow the teachings of Ignatius of Loyola, whose Spiritual Exercises serve as a cornerstone of their spirituality. The Jesuits have played a significant role in the history of education, establishing numerous schools, colleges, and universities around the world. They are also known for their missionary efforts, spreading Catholicism to various regions globally, particularly during the period of European colonial expansion. Additionally, the Jesuits have been active in advocating for social justice and human rights, engaging in works of service and solidarity with marginalized communities. Today, the Society of Jesus continues its mission through its educational institutions, social ministries, and spiritual guidance
 
Huyo papa choko anaenda kupigwa biti asituletee wachungaji mapunga na kuja kuharibu tamaduni zetu za kiafrika.
Waraka wa KKKT na wasabato umeambatanishwa kwenye biti hili la kufa mtu

View attachment 2885025
hao kkkt na sabato si chochote wala lolote kwa dubwasha hilo, hawajulikani ni kina nani hao duniani. Wao wenyewe huyo ni mama yao, mama wa makahaba, babeli kahaba mkuu
 
Back
Top Bottom