Mwaliko wa Pasaka

Mwaliko wa Pasaka

Nakusubiri kwa ham, halafu unidanganye, nimekuja kino kwa ajili yako
 
Itabidi mm nikualike uje kula chakula cha usiku tu kwani mchana nimepata wageni wengine kama gfsonwin na Chimbuvu wanakuja na wengineo kibao sasa tutakuweka wapi wewe njoo usiku lakini sasa sijui kama Mentor atapenda wewe uwepo? naomba umwambie kuwa unakuja usiku home kwetu ili naye afahamu kwani nikimwambia mm patachhimbika bure,sitaki haribu wakati wa sikukuu bhana
 
Last edited by a moderator:
By kwamtoro<br />
Ahc Ahsura inin, utik ahc iwalam amon. awepana izubm elika ahsik iivam ekay ondi utik eweyney
<br />
<br />
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=31694" target="_blank">kwamtoro</a></b> hapo umeongea kirangi au kisandawe?
Hii ni lugha ya kabila jipya ambalo tumejianzishia member wa jamii forum. Karibu nawe pia
 
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat

YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nina uwezo mkubwa sana ktk hili na nina HOTP0T maalum ya kuchukua vyakula vitakavyo bakia, sina aleji na chakula chochote. Wengi niliokula kwao wamenifurahia.
Nimetuma maombi mapema ili kukupunguzia gharama ya kualika wengine.

Natumaini utaniarifu mapema nije saa ngapi?

Wako mtiifu katika kula N. Mtei







Nawapenda sana watu kama nyie,nakukaribisha vizuri sana na chakula kinaandaliwa.Wewe umekuja na njaa zako mimi nakuanzishia menu ya miwa halafu mimi najidai sijisikii kula miwa,basi kama hujagundua ikifika time ya kipunga wewe na miwa yako appetite yote haipo,nani aliyewahi kujaribu kula muwa kabla ya pilau anaweza kuwa shahidi wa haya niyasemayo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom