Mwaliko wa Pasaka

Mwaliko wa Pasaka

duh!..vijana na ujana
Karibu R-CHUGGA chali'angu.

Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?
 
Mimi wala cna shida ya kukualika, mana najua pasaka hii waenda kula kwa nani, karibu sana mweshimiwa
 
Nami ngoja niandae kitani safiiii ikiambatana na vitendea kazi vifuatavyo:Ndizi kwa ajili ubwabwa na kujazia sehemu za wazi tumboni.Kipande cha samaki kwa ajili ugali.Pilipili kwa mabadiliko yoyote.Nzi kwa ajili ya kuonesha mwelekeo.
Safi sana. Vitendea kaz muhimu kuwepo
 
Karibu R-CHUGGA chali'angu.Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?
Mwana mi ntakuja kupga menu tu.
 
Ninakukaribisha IRINGA..

Tutaanzia ULANZI.. then menu.. Baada ya hapo tunaenda pasha makoo STEREO kuna mchemsho mzuri, tukitoka hapo twajongea MIAMI kuna mbuzi choma, hatutakaa sana hapo kwani +255 inabamba tutenda pale kula mvinyo.. Then tunaenda SHOOTERS mpaka saa 5.. Mwisho ni kuruka TWISTERS..
Karibu.
 
Karibu R-CHUGGA chali'angu.

Maisha yangu ya kibachela tutapika bwabwa tule mpaka tuvue mashati. Then twende tukapige mitungi na tukishakuwa bwax tukatafute midudu ya kupiga mikasi. Au vipi mwana?

mkuu ngoja nipige ramli kwanza naweza kuunga tela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom