Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha hata punje kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nina uwezo mkubwa sana ktk hili na nina HOTP0T maalum ya kuchukua vyakula vitakavyo bakia, sina aleji na chakula chochote. Wengi niliokula kwao wamenifurahia.
Nimetuma maombi mapema ili kukupunguzia gharama ya kualika wengine.
Natumaini utaniarifu mapema nije saa ngapi?
Wako mtiifu katika kula N. Mtei