Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
- Thread starter
- #81
Hapana sio mtego mkuuhuu mtego huu
Hapana sio mtego mkuuhuu mtego huu
Ipo siku ya watoto nitakutana na maanko siku hiyoNilifikiri unatafuta kufahamu changamoti zao kama mlezi mmoja.
Kama ni hivyo kuonana na mtoto ungejifunza kitu kwa kuona kama sehemu ya utafiti wako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimemuwaza mwanangu nimechekaaa, mtoto wangu anakula kama kiwavi jeshi kwakweli..... chakula anaongeza hata mara 3 ndio natinga nae lunch sasa 🤣🤣🤣Hiyo bill itakuwa sio ya mchezo; ni sawa na mazao kuvamiwa na viwavi jeshi
Kumfanya aonekane a real momKama gharama zipi?
Kwani hujui kuwa wao ni wapambanaji smart?Kumfanya aonekane a real mom
Unaenda kumkamua ng'ombe asiyekuwa na maziwa, huo sio uzalendo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimemuwaza mwanangu nimechekaaa, mtoto wangu anakula kama kiwavi jeshi kwakweli..... chakula anaongeza hata mara 3 ndio natinga nae lunch sasa 🤣🤣🤣
Natamani kukutana na huyo anko siku moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimemuwaza mwanangu nimechekaaa, mtoto wangu anakula kama kiwavi jeshi kwakweli..... chakula anaongeza hata mara 3 ndio natinga nae lunch sasa 🤣🤣🤣
Ni wapambanaji, na wengi wana akili za kiutu uzima hasa uwekezaji, uwekezaji unahitaji fedha.Kwani hujui kuwa wao ni wapambanaji smart?
HaswaaNi wapambanaji, na wengi wana akili za kiutu uzima hasa uwekezaji, uwekezaji unahitaji fedha.
Ukimaliza uje umtangaze ety eeeh 👀Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.
Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.
Offer hii ni kwa single mother yeyote aishie Dar. Wale wa mikoani msijisumbue.
Karibuni.
💤Bwashee nina mke na watoto, siwezi kumla mke wa mwingine
Unataka kujua nini zaidi ktk hiyo outing na single ladies?Kambi ya Fisi tunaomba feedback ya outing na single mothers [emoji23]