Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
- Thread starter
- #41
Mwaliko unamhusu mother peke yake, mtoto ama watoto itakuwepo siku maalunAje na kijana/binti yake kbs ama?
Mwaliko unamhusu mother peke yake, mtoto ama watoto itakuwepo siku maalunAje na kijana/binti yake kbs ama?
Sasa utajuaje kwamba huyu ni single mother??Mwaliko unamhusu mother peke yake, mtoto ama watoto itakuwepo siku maalun
Mwaliko unamhusu mother peke yake, mtoto ama watoto itakuwepo siku maalun
Nitamjua tu, baada ya kuzungumza naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tumusubiriSwal lenye maslai mapana snaa mkuu akijib nistue [emoji2]
Hiyo niachie mimi najua jinsi ya kumtambuaMkuu ss utaamin vp ni singo maza bila kuja na damu yake [emoji28]
Swali kama hilo huulizwa na wanaume waoga tu 😂Swal lenye maslai mapana snaa mkuu akijib nistue [emoji2]
Sio ghafla huu ni muda muafaka kukutana naoMmmmh mbona ghafla hivi
Hiyo niachie mimi najua jinsi ya kumtambua
Unakipimo?? Kwamba kitasoma huyu ni single mother?? Umeleta mjadala acha tuujadili wote kwa pamojaSwali kama hilo huulizwa na wanaume waoga tu [emoji23]
Maziwa kaacha nyonyesha miaka 3 huko nyuma! Maziwa yatanukiaje??Au lazm awe ananukia maziwa [emoji1787]
Unakipimo?? Kwamba kitasoma huyu ni single mother?? Umeleta mjadala acha tuujadili wote kwa pamoja
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Halafu wewe huu uzi haikuhusu tuliaAu lazm awe ananukia maziwa [emoji1787]
Halafu wewe huu uzi haikuhusu tulia
Maziwa kaacha nyonyesha miaka 3 huko nyuma! Maziwa yatanukiaje??
Huyu jamaa hata simuelewi kabisa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu sisi wote ni watu wazima hapa!Inaonekana kama Unatafuta mbinu za kuwatambua muonekano wao, subiri nitaanzisha uzi wa kukusaidia kuwatambua, huu mwaliko hauhusiani na utambuzi wa jinsi walivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana point! Anadhan sisi ni watoto wadogoAnaznguka tu hatak kusanuka jinsi ya kumtanbua singel maza au gazet la jion[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitaanzisha uzi mwingine kesho usipitwa utajua namna ya kumtambuaMkuu sisi wote ni watu wazima hapa!
Huwezi sema unamtambua mtu ambaye kazaa bila kujua au kuambiwa au kuona!
Single mother hana alama mwilini kwamba nimezaa! Labda kama unataka kupewa tango pori tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app