Mwaliko kwa single mother yeyote hapa jf

Mwaliko kwa single mother yeyote hapa jf

Gily tuheshimiane plz
Ulianz kunivunjia heshima kwa nini utuponde wachaga. Hichi ndicho unachokitafuta
1c5bb180f8392aab0781230ae2c2d922.jpg
 
Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.

Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.

Offer hii ni kwa single mother yeyote aishie Dar. Wale wa mikoani msijisumbue.

Karibuni.
........heri yako wewe umewakumbuka Kwa wema hao single moms(if you are not mocking) ......coz kibongobongo huwa wanasilibwa sana bila kujali kuwa kiafrika asilimia kubwa ya watu wazima waliopo wamekuwa raised up by the so called single mamas.......
 
Haifai kuwanyanyapaa, lazima tuwakumbuke kwa wema
 
Back
Top Bottom