Mwaliko kwa single mother yeyote hapa jf

Mwaliko kwa single mother yeyote hapa jf

Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana.

Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment.

Offer hii ni kwa single mother yeyote aishie Dar. Wale wa mikoani msijisumbue.

Karibuni.
Jbo jema sana.
Na mkimalizana yaishie huko msijefunguliana nyuzi
 
Tatizo ni jina Hilo 😀 wangekuja wengi sana wanaogopa hio kambi ya fisi
Mbona ni jina poa tu au unadhani nitamleta kambini?

Hapana atalijua na jina langu halisi siku hiyo, kambi ya fisi ni jina la mtaa wangu nakotekea hakuna fisi huko ni jina tu kama lile la Mloganzila 😬
 
Nimesema ipo siku ya kuonana nao hao wajomba Ila sio siku ile ya mwaliko wa lunch.

Kwa nini unanitilia shaka?
Nilifikiri unatafuta kufahamu changamoti zao kama mlezi mmoja.
Kama ni hivyo kuonana na mtoto ungejifunza kitu kwa kuona kama sehemu ya utafiti wako
 
Back
Top Bottom