Mwali! Siamini......

bedsheet mate? hahahahaha watu wanajipa promo tu humu ndani!
Bedsheet mate ndio wanakuaje sasa? wanachangia bedsheet? mmmhhh....

Mi hata sijui ila aka yake ni Blanket mate
 
Nope..i practically live with her what else can i wish for? And for the record..'lure' aint my thing,i do conquer though.
Does conquer means collecting loose balls? Well somebody said you can't even kill a fly but unajigamba u can kill the elephant
 
Niifungulie kwanza kule ulikonifungia nikwambie
Uncle wangu ndio aliweka hizo privacy settings,
misiwezi kuzitoa, sina access huko. Pole sana
Kifupi ni kwamba siwezi pokea PM toka kwa mtu
Unless huyo mtu ni wa familia, au ni 'rafiki' rasmi.
Sasa add me as a friend, I'll add you back, then send your PM.
 
Does conquer means collecting loose balls? Well somebody said you can't even kill a fly but unajigamba u can kill the elephant

Loose balls....flies....kill....elephants....What is all this stuffs about,mkuu do you live in the Amazon with that somebody??
I got my contract and it is laminated so until it expires just learn how to live with it.Hurt..cry..beg..collect flies..kill elephants.It doesn't matter that much.
Terms and conditions apply.
 
Uncle wangu ndio aliweka hizo privacy settings,
misiwezi kuzitoa, sina access huko. Pole sana
Kifupi ni kwamba siwezi pokea PM toka kwa mtu
Unless huyo mtu ni wa familia, au ni 'rafiki' rasmi.
Sasa add me as a friend, I'll add you back, then send your PM.
Okay done but kwani huyo uncle wako hapokei rushwa?
 
Loose balls....flies....kill....elephants....What is all this stuffs about,mkuu do you live in the Amazon with that somebody??
I got my contract and it is laminated so until it expires just learn how to live with it.Hurt..cry..beg..collect flies..kill elephants.It doesn't matter that much.
Terms and conditions apply.
Yes i live in the Amazon with anacondas, that somebody lives on top of Everest and can see whats goin on down stars especially to you.

Yes of coz terms and condition apply to eligible only
 
Dear Mwali,

Natumai we ni mzima bukheri wa afya. Mimi ni mzima japo napata matatizo ya kulala hasa ninapokuwaza.

Lengo na madhumuni ya ujumbe huu ni kukutakia heri ya pasaka na kutaka kukwaambia kuwa nimefadhaishwa sana baada ya kugundua kuwa umefanya kweli vile ulivyosema utafanya juu yangu. Nimekuwa mdogo kiasi cha kuweza kupita chini ya upenyo wa mlango (nimefanya hivyo leo)

Hata hivyo bado nimo,

Wako katika mchakato
Musimo jr

mboni unalia passover yote hii tutafika kweli..
 
Sasa wewe janaume mcharuko shingo feni mimacho mara kwa mwali mara kwa Lizzy la kazi gani?

Watu wengine bhana, sa we unasubiiri iniitiatives za wenzio udandie eeh! Khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom