Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jul 14, 2012 #41 na sijui kilichomtoa zomba kwenye jukwaa la siasa kuja kuingilia makoloni ya watu huku nini, angerudi tu kule akaendeshe libenenge lake na madoktas. Bishanga said: Endeleeni kumzonga mke wa watu,yatakayo wakuta bishanga simo. Click to expand...
na sijui kilichomtoa zomba kwenye jukwaa la siasa kuja kuingilia makoloni ya watu huku nini, angerudi tu kule akaendeshe libenenge lake na madoktas. Bishanga said: Endeleeni kumzonga mke wa watu,yatakayo wakuta bishanga simo. Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jul 14, 2012 #42 angalia nilichokugongea mkuu. Mphamvu said: Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani! Click to expand...
angalia nilichokugongea mkuu. Mphamvu said: Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani! Click to expand...
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Jul 14, 2012 #43 Erickb52 said: Hahahaaaaa Mphamvu mi sina la kusema ila tupendane tu hivyohivyo ila ikibidi tunamrudisha Jukwaa la Siasa asituletee Stress zake huku sisi hatujazoea! Click to expand... Mi nawapenda wanaopendeka bwana, ulishaona wapi mtu anapenda kinyesi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 said: Hahahaaaaa Mphamvu mi sina la kusema ila tupendane tu hivyohivyo ila ikibidi tunamrudisha Jukwaa la Siasa asituletee Stress zake huku sisi hatujazoea! Click to expand... Mi nawapenda wanaopendeka bwana, ulishaona wapi mtu anapenda kinyesi?
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Jul 14, 2012 #44 Mamndenyi said: angalia nilichokugongea mkuu. Click to expand... Thanks wangu, nikifika kwa PC nitarudisha upendo wako kwa uzito ule ule. Love you!
Mamndenyi said: angalia nilichokugongea mkuu. Click to expand... Thanks wangu, nikifika kwa PC nitarudisha upendo wako kwa uzito ule ule. Love you!
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Jul 14, 2012 Thread starter #45 Mphamvu said: Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani! Click to expand... Una dalili zote za uchawi kwa hayo maneno yako tu.
Mphamvu said: Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani! Click to expand... Una dalili zote za uchawi kwa hayo maneno yako tu.
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Jul 14, 2012 #46 Mwali said: Jamani, jamani zomba, ndio nini hivo sasa? Picha yangu ya chumbani umeweka sebuleni Bora hata ungeleta zile imevaa kijani (CCM) Hapa naona zangu aibu, ngoja nipotee mie... Click to expand... Ha..ha..ha Hii ya mkono kichwani nimeipenda kweli. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwali said: Jamani, jamani zomba, ndio nini hivo sasa? Picha yangu ya chumbani umeweka sebuleni Bora hata ungeleta zile imevaa kijani (CCM) Hapa naona zangu aibu, ngoja nipotee mie... Click to expand... Ha..ha..ha Hii ya mkono kichwani nimeipenda kweli.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jul 14, 2012 #47 Mphamvu said: Mi nawapenda wanaopendeka bwana, ulishaona wapi mtu anapenda kinyesi? Click to expand... Kweli aisee nimekubali Mphamvu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mphamvu said: Mi nawapenda wanaopendeka bwana, ulishaona wapi mtu anapenda kinyesi? Click to expand... Kweli aisee nimekubali Mphamvu
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Jul 14, 2012 #48 zomba said: Una dalili zote za uchawi kwa hayo maneno yako tu. Click to expand... Sawa malaika, ila ujue kuna uzi wako kule, nenda kajipime halafu upotee jukwaani.
zomba said: Una dalili zote za uchawi kwa hayo maneno yako tu. Click to expand... Sawa malaika, ila ujue kuna uzi wako kule, nenda kajipime halafu upotee jukwaani.