Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,411
- 271,880
Wanakyela tunamshukuru sana Mungu kwa kutuepusha na Mbunge wa Treni , sasa tutapata mbunge halisi tunayemhitaji .
Na Wahaya+Wachaga ni wabinafsi na wakabila kupindukia! Hawapendi kufanyakazi na kabila tofauti na wao!
Wabongo wanafiki sana. Wakati Mwakyembe anawindwa na kukoswakoswa na ajal za barabaran, hakuna hata mtu aliyejali. Mpaka amebabuliwa ngozi kama nyoka, bado wabongo hawana shukran. Mlitaka afanye nin? Wewe kama raia wa nchi hii umeifanyia nin Tanzania mpaka uone yeye hatoshi? Watu ambao hamjawah hata kupigwa kelbu kwa ajili ya nchi hii mfunge zipu za midomo.
Kuhusu wizara ya uchukuz na miundombinu, pale Mwakyembe ilikuwa ni lazima aondoke maana bandari ndo shamba la bibi la wanasiasa wa bongo. Kagame hakukosea kusema anaweza kuibadilisha bongo kwa kutumia bandari. Bila bandari, home shoppng wasingekuwa wanasumbua mjini.
Pia Mwakyembe alidhibiti upitishaj madawa uwanja wa ndege. Madawa ya kujevya ni ishu iliyomzid JK nguvu ndo maana pamoja na kuwa na majina ya wauzaji kaamua kukaa nayo kimya.
Naamin uamuz huu ulikuwa mgumu sana kwake na kwa familia yake na ndo maana akachelewa kuchukua fomu. Muungen mkono maana ndiye aliyewapa displine wakenya na KQ yao baada ya kuona wanaleta usanii kwenye utalii. Yaani wasione aibu kina Kigwa, Makamba, Migiro, Mbega na Wasira, aone Mwakyembe aliyebabuliwa na majiz wa taifa hili?
Invisible mmemtoa Mwakyembe sasa watanzanua wanakamatwa huko Ughaibuni kumbe lengo lenu JNIA KIA na viwanja ningine vibaki wazi????Wewe humjui Mwakyembe.
Huyo ni Fisadi tu hana tofauti yoyote na mafisadi wengine.
Alipokuwa Waziri wa uchukuzi alikuwa ni mtu wa kuchukuwa pesa kutoka kwenye taasisi zilizo chini ya wizara husika.
Alimpatia Ngewe (ambaye ni rafiki yake wa Karibu) u DG wa SUMATRA. Na alikuwa kila wakati akimtumia Tumpe Mwaijande kuchukuwa Bahasha kutoka SuMATRA. TCAA, TPA, TRL kote huko alikuwa ni mtu wa kubeba bahasha tu kwa kutmia mpambe wake wa Karibu pale Wizarani. (Tumpe Mwaijande).
Bado ana mbinu za kizamani ya kutmia media aonekane anachapa kazi kumbe fisadi tu huyo