Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond