Mwakyembe uwe na aibu!

Mwakyembe uwe na aibu!

Nyinyi kina Mwa mwa mwa ni wabinafsi na wakabila kinyama pamoja na Wahaya bila kuwasahau Wachaga! Hamuwezi kufanyakazi na makabila mengine tofauti na nyinyi!

*JK anajenga bandari mpya Bagamoyo wakati ya Dar hapo karibu ipo
*Bank ya Dunia imeleta mradi mkubwa wa kuendeleza kilimo cha mpunga Rufiji wakati Kyela ndiyo yenye mchele bora
*Gasi inatoka Mtwara inasafishiwa karibu na kwa JK ili wengi wapate ajira
*Barabara na daraja la Mkapa iliisha wakati wa Rais ni Mkapa

Nani basi ambaye sio wabinafsi?Wanyakyusa hatuna ubinafsi "mma ngokanika"
 
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond

ukisikia sehemu yeyote mtu kawajibika sio inamaanisha naye kala au kaiba pesa, Muongo kajiuzuri inamaana aliiba zile pessa? acha kupotosha watu wewe! zana ya uwajibikaji CCM wengi inawashinda!!
 
Nimemsikia Mwakyembe kupitia ITV akiahidi kuwachukulia hatu viongozi waliotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi endapo atafanikiwa kuwa raisi wa nchii.

Huyu Mwakyembe ndie aliamua kutuficha baadhi ya taarifa za Richmond ili kuikoa serikali alafu leo hii anatuahidi kuwachukulia hatua watuhumiwa wa ufisadi,huu sio usanii?!
Polonium ni sumu kama bange tu haiishi haraka kichwani. Baada ya miaka saba ataacha usanii.
 
Jaman sinakipingamizi na dr mwakyembe sipati shida hata kumuongelea kama watangaza nia wengine uwazir ndani ya miaka miwili tu amefanya remarkable job eac miezi tu rais wa rwanda kagame kawa ndugu yetu na eac yote inatuheshim nchi kuelekea kipato cha kati tunaitaji mtu mtekerezaji mzarendo mwenye uthubutu sio uthubutu wa kununua mvua thailand au kubana fedha za kujengea misikiti bali ni uthubutu wa kufanya vitu kwa hekima mfano ni tran ya mwakyembe ilisaidia sana kulahisisha usafiri. Dar sijui bado inafanya kazi du dr naona kwako njia ni nyeupe tunakuombea mzee wetu.
 
Ha ha ha! Jee nikusaidie ili uweze kusema hicho utakacho kusema? Nina rika linalokaribiana na huyo Mwakyembe na nimewahi kufanya naye kazi kwa karibu hivyo ninamfahamu vyema.
kama umri wako unakaribiana na mwakyembe, umefanya naye kazi kwa karibu na unamfahamu vizuri sana, basi ungekuwa makini katika kuchagua maneno ya kusema kwenye mitandao. Unless umepatwa na tatizo la akili. Ugua pole
 
alafu MTOA MADA UWE UNAFIKIR ATAKAMA UMEONGWA KUFANYA HII KAZI UNAMTAKA DR MWAKYEMBE AWE NA AIBU KWANI KAMSEDUCE MAM AKO WE NDY UWE NA AIBU KUTAKA KUMCHAFUWA KIONGOZI TENA WAZIR WA NCHI HUOGOPI JERA HAYA ENDELEA CAMPAIGN ZA UCHAGUZI BADO LKN.
 
Salary Slip

karibu sana jemedali mwingine,

1,magufuli
2,mwakyembe
3,makongoro
4,muhongo
chini ya list hii sipati picha jukwaa la kampaini litakanyolinashambuliwa na hoja za ukweli, wenye maswali yaandae naamini kila swali litajibiwa na kila mtu atakubali,lkn hii list ni mkobozi wa miimili 2.
1, urais -ushindi usioitaji nguvu nyingi na wa asubuhi,
2,watawasaidia wabunge wa ccm kurudi bungeni wangi
nje ya hapo ccm itabidi kutumia mguvu nyingi sana zisizokuwa na mmana wakati watu wa kuraisisha kazi hii wapo,

Namba 5 ongeza Edward Ngoyai Lowassa.
 
wewe MWENYEWE UNAOMBA UKU UNANGALIA NYUMA UNAONA AIBU KWA SASA EDO LWS ANARUDISHA PESA YETU SIS WALA HATUANGAIKI NAE ILA CHAMTEMAKUNI ATAKIONA THIS YEAR.

Mkuu katumwa huyo kuchafua watu eti 5. Ongeza lowassa kha hivi mbona mwakyembe hatumi watu kuchafua wengine? Kachukua form kimya kimya chupi zinawabana!! Na kasema kachukua ili kukiongezea chama wigo mpana wa kuchagua wenye sifa kazi kwenu
 
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond

Mbona unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe? hivi mtu anaposema kaficha taarifa ili kuilinda serikali unadhani hiyo taarifa ilikuwa inaficha mazuri?
 
Ila ukweli tuuseme tu na ndiyo maana hata Mwl Nyerere aliliona hili...makabila haya matatu bado sana nahayafai kuchukua inchi..Haya...Chaga...Kyusa
Angalia jeshini utapata picha ikoje huko
Angalia polisi kipnd cha mamwe utapata picha
Angalia tff utapata picha
Yan huo ndo ukweli kwa Urais ni Big noooo haya makabila 3
 
Unauwezo mdogo sana kufikiri unaposema sema mwakyembe alificha taarifa unamaana gani?maana tume ya mwakyembe ndiyo iliyopelekea mawaziri wanne kujiuzulu na akiwemo waziri mkuu lowasa ambaye ndiyo bosi wako,sasa unaposema mwakyembe kaficha taarifa ulitaka nani ajiuzulu zaidi ya waziri mkuu,hilo la kwanza la pili nije kwenye mada yako hvi unapo sema mwakyembe alificha taarifa ili kuiokoa serikali embu jaribu kukamilisha hyo sentensi maana haija kamilika na kama ulimsikia mwakyembe alisema hvyo na wenda alisema je alisema anaficha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali na nn?alificha taarifa kuiokoa serikali isiabike mbele za wananchi au alificha baadhi ya taarifa ili kuiokoa serikali isiyumbe,embu tusaidie kumalizia kile alichokisema mwakyembe,na kama mwakyembe alisema aliamua kuficha baadhi ya taarifa za richmond ili kuiokoa serikali bila kumalizia Hiyo sentensi kuiokoa serikali na nn basi wenda alikua na maana nyingine zaidi kuliko hizi mnazozileta nyie na kuongeza maana zenu.kwa ufupi saga la richmond lilisha isha watu walishajiuzulu nimiaka saba sasa inaenda nane kuja huku jamiiforam na wimbo huohuo wa mwakyembe alisema hvi mara vile hauwezi kumshushia hadhi mwakyembe,mwakyembe aliifanya kazi ile kama mwenyekiti kwa weledi mkubwa mpka kupelekea waziri mkuu lowasa kumwandikia barua raisi ya kujiuzulu na raisi mwenyewe kama bosi wake akaiweka saini barua yake ya kujiuzulu kuthibitisha kweli lowasa alihusika kwenye kuibeba kampuni feki ya richmond

Kwa akili zako na ufahamu pia..kujiuzuru kwa hao mawaziri na Waziri mkuu kwako ndio mafanikio na sifa ya Mwakyembe aende kuwa Rais sasa. Ningesikia wamewajibika kwa kulitia hasara Taifa na kufanya uchumi wetu unnadorola haoa kama mlenda wa jana hapa. Mi sijaona cha maana alichodanya watu wanajiuzuru wanaenda tumia mahela kwa kampeni warudi kuongiza ufusadi. Yeye naye ni wale wale tu.
 
Mwakyembe na mnyakyusa yoyote yule hawafai kupew nchi

Twende na hoja. Tusipende stereotype na stigma. Hoja za tabia za makabila zimepitwa na wakati na ndio maana watu werevu wanaoa au kuolewa na kabila lolote, cha msingi ni tabia ya mtu.

Hakuna mwanasiasa anakubalika mby kama Mwandosya. Wanyakyusa wangekuwa wabinafsi kama inavyoaminika, Lowassa ambaye si rafiki wa Mwandosya au Mwakyembe asingepata wadhamin elfu 50. Hata dogo Makamba amepata wadhamin weng kana kwamba kuna kitu kaifanyia mby au taifa kwa ujumla. Mby wana mwamko wa kisiasa na wanaenda na hoja, ndo maana sugu ambae ni mkinga wa iringa alichaguliwa kuwa mbunge wa mby mjin.

Dini zimetugawa vya kutosha, tusikubali kugawanya hata kwa makabila. Tuangalie sifa za mtu. Tumkubali au kumkataa mtu kwa sifa zake na sio kabila, rangi au dini yake.
 
Nimemsikia Mwakyembe kupitia ITV akiahidi kuwachukulia hatu viongozi waliotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi endapo atafanikiwa kuwa raisi wa nchii.

Huyu Mwakyembe ndie aliamua kutuficha baadhi ya taarifa za Richmond ili kuikoa serikali alafu leo hii anatuahidi kuwachukulia hatua watuhumiwa wa ufisadi,huu sio usanii?!
kutoka kwenye account ya twitter ya Reginald Mengi
Ewe msaka urais muogope Mungu. Unamtuhumu mtangaza nia mwenzako kwa rushwa wakati nawe unanuka rushwa. Thubutu kutangaza mali zako tukupime.
Nyingine hii

Siasa ni danganya toto? Mtangaza nia asema atatokomeza rushwa wakati yuko kimya juu ya: 1)mabehewa mabovu 2)ufisadi Tanesco wa sh bilioni 85
 
Mwakyembe nilikuwa namkubali sana, ata alivyo patwa na matatizo ya ngozi nilisononeshwa sana ila tokea alivyo sema kuwa akirudi salama toka India ataweka wazi kila kitu kutokana na ugonjwa wake na aliporudi hakufanya hivyo kwa kweli nilimwona waajabu.

Kibaya zaidi ni kwenye Bunge la Katiba nilisikia kuwa kwenye chapicho lake lililo mpatia PHD alikiri kuwa suluhisho la muungano wa Tanganyika na Zanzibar nikuwa na serikali tatu tu, kisha kwenye kupendekeza kwenye katiba pendekezwa akapendekeza mbili apo ndio nikamwona Waajabu kabisa.

mkuu akhsante,chukua like ya maandishi, LIKE.
kuna mengi ya hovyo ya huyu jamaa,muda ndio utakaosema.
 
huyu mwakyembe ndo sehemu ya tatizo kama EL hafai yeye hafai mara 100 zaidi, unaficha ukweli harafu unataka ikulu, pumbavuuuuuuu
 
Back
Top Bottom