Wewe humjui Mwakyembe.
Huyo ni Fisadi tu hana tofauti yoyote na mafisadi wengine.
Alipokuwa Waziri wa uchukuzi alikuwa ni mtu wa kuchukuwa pesa kutoka kwenye taasisi zilizo chini ya wizara husika.
Alimpatia Ngewe (ambaye ni rafiki yake wa Karibu) u DG wa SUMATRA. Na alikuwa kila wakati akimtumia Tumpe Mwaijande kuchukuwa Bahasha kutoka SuMATRA. TCAA, TPA, TRL kote huko alikuwa ni mtu wa kubeba bahasha tu kwa kutmia mpambe wake wa Karibu pale Wizarani. (Tumpe Mwaijande).
Bado ana mbinu za kizamani ya kutmia media aonekane anachapa kazi kumbe fisadi tu huyo[/QUOT.
Naona umekulia kwenye siasa za maji taka wacha nikupe elimu kidogo,unajua unapokuja na madai kama haya sijui mwakyembe alikusanya hela sumtra sijui TPA na blabla nyingine ,madai yako haya hayana nguvu yatabaki kuwa ni porojo za mpita njia zisizo na maana yoyote ukitaka kusema mambo kama haya lazima uweke na ushahidi.wacha nikupe mfano nitatumia sakata la bosi wako lowasa na richmonduli ,mimi binafsi naamini lowasa alihusika kwenye mchezo mchafu wa richmond ,sasa nikisema madai kama haya bila ushahidi inakua nachokisema ni porojo tupu sasa wacha niweke mstari mmoja wa ushahidi wangu ili kusapoti madai yangu,.katika ripoti ya kamati teule iliyo kuwa inaongozwa na mwakyembe sehemu ya ripoti hiyo ilisema hvi ,nanukuu msaidizi mkuu wa lowasa ,ole kuyan,kaatika barua yake kwenda kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini anasema ,....."Endeleeni kusaini mkataba kati ya richmond na serikali ,maana waziri mkuu ,EDWAD LOWASA tayari ameridhika kwamba richmond ipewe mkataba. kutokana na mstari huo mmoja tu inasibitika bila shaka lowasa alishiriki katika kuibeba kampuni isiyo na uwezo ya richmond,na huo ni mfano mmoja tu nimekupa kukuelimisha jinsi ya kuandika tuhuma zako ili zionekane zina mashiko. lakini ukija humu jamiiforam na kutaja watu sijui mwakyembe sijui tumpe mwaijande unachofanya kinaonekana upuuzi kuliko upuuzi wenyewe,.natumaini umenielewa na naahidi kukupa ushirikiano katika kukuelimisha maana naamini ukielimika utaacha kutumika kichwa kichwa kama hivi